...

Unanchekesha Lyrics by MARIOO


Unanchekesha

He he he heee eeh

Ho ho ho hooo ooh

Baaaadd

He he he heee eeh

Alooh

Ho ho ho hooo ooh

We nani ana namba?

Ya coy mzungu

Ampigie kuna mtu anakipaji

Cha kuchekesha

Aenda akachekeshe

Me mtu mzima ananitishia nyau

Eti kosa si kosa

Anasema tuachaane

Me nikamwacha nishamove on

Ndio ananiganda ganda

Kala ndizi kasahau

Alinitupia maganda

Me mtoto wa mungu

Ye anatumia waganga

Kabla hajavuka mto akatukana mamba

Si ulisema sipati bebeee

Huyu nani ?

Si ulisema sipati mtoto mkali

Huyu vipi ?

Unanchekesha

He he he heee eeh

Alooh

Ho ho ho hooo ooh

He he he heee eeh

Alooh

Ho ho ho hooo ooh

Unanchekesha

He he he heee eeh

Ho ho ho hooo ooh

Unanchekesha

He he he heee eeh

Unanchekesha

Ho ho ho hooo ooh

Sheeeehh

Ukipiga simu me siokoti, me siokoti

Ukituma meseji nafungua,nauchubua

(ukipiga simu me siokoti, me siokoti

Ukituma meseji nafungua,nauchubua)

Ukipiga simu me siokoti, me siokoti

Niko na mchumba, chumbani unasumbua

(ukipiga simu me siokoti, me siokoti

Niko na mchumba, chumbani unasumbua)

Me nishamove on

Ndio ananiganda ganga

Kala ndizi kasahau

Alinitupia maganda

Me mtoto wa mungu

Ye anatumia waganga

Kabla hajavuka mto akatukana mamba

Si ulisema sipati bebeee

Huyu nani ?

Si ulisema sipati mtoto mkali

Huyu vipi ?

Unanchekesha

He he he heee eeh

Alooh

Ho ho ho hooo ooh

He he he heee eeh

Alooh

Ho ho ho hooo ooh

Unanchekesha

He he he heee eeh

Ho ho ho hooo ooh

He he he heee eeh

Unanchekesha

Ho ho ho hooo ooh

Watch Video

About Unanchekesha

Album : (Single)
Release Year : 2024
Copyright : ©2024 Bad Nation.All rights reserved.
Added By : Farida
Published : Dec 04 , 2024

More MARIOO Lyrics

Why
MARIOO
MARIOO
MARIOO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl