Ntambia nini Watu Lyrics
Ntambia nini Watu Lyrics by DMORE
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Yoh amereremba mi humnyc
Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu?
Ni mtamu na ni fries
Tamu na ni fries, ntambia nini watu?
Cheza lotto, cheza kamari washa nare
Purura ruracio nilipull up ka odinare
Kula mbleina mbosho mjoro msare na suruari
Gizani baze ngware chebe mchwape na Mshwari
Moshi na itoka, harufu haitoki
Msupa wa ghetto nilimpeleka katululu shopping
Ndege bogi benda, rowesa in de
Rong rende hizo mbogi genje
Seska kwa mbavu yu hunituliza roho
Mshenzi huyo swanse amenilkula brown
Nilimkemba na madigola akafungua roho
Nikiwa matundu, mavitunguu na Dmore wa Ochungulo
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Yoh amereremba mi humnyc
Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu?
Ni mtamu na ni fries
Tamu na ni fries, ntambia nini watu?
Brathe nimekafunga ka shop za Bet In
Pedi wangu huuza gode ndani ya canteen
Mi hupiga ngasha kwanza nikiwa taxin
Hio ndo njaro ya kuhata Covid 19
Cha mkufuu mwanafuu Ha!
Na akila mwanafuu Hu!
Cha mwanafuu mkufuu Hu!
Na akila mkufuu, aii
Hawezi konda
Hata ukule feelings bado hauwezi nona
Dem alikula vela akajipata kwa mrota
Mboka ni mboka na nyoka ni nyoka aaiii
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Yoh amereremba mi humnyc
Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu?
Ni mtamu na ni fries
Tamu na ni fries, ntambia nini watu?
Confessions, confessions
Nafungua roho ndo niji-validate
Kutokanga bila juanga huyo si mimi
Nakata wasupa buda si ati nini
Sexting mi na Diana
Kwa giza ni saa ile banye amelala
Omusakhole we wamboreshi
Omusakhole we wamboreshi
----
----
Yoh amereremba mi humnyc
Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu?
Ni mtamu na ni fries
Tamu na ni fries, ntambia nini watu?
Nimewekewa kuku manga
But sitawacha kukumanga
Mi ndio daktari wa miti shamba
Nairobi nimejaza mashamba
Nimekwama nimekwama mara mingi
But sex sitawacha
Kijana Headi, mpaka River-Road
Makahaba headmaster
Man a D, Man a D
King pin, King pin
Hao huniona hunikimbilia
Ju ju mi ni sponji
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Nikishikwa na dem yako, ntambia nini watu?
Akisema ananipenda, ntambia nini watu?
Yoh amereremba mi humnyc
Akiniona ye hufurahi, ntambia nini watu?
Ni mtamu na ni fries
Tamu na ni fries, ntambia nini watu?
Watch Video
About Ntambia nini Watu
More DMORE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl