Tuko Locked Lyrics
Tuko Locked Lyrics by DMORE
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Niko locked na matire unaweza piga lock
Mi afande bila chengerere bash nimecock
Niko juu ya nganya majicho nyanya
Ki baby nikikuja kila stingo tutafanya
Anaipenda lakini hutoka rapper
Zangu nikishika na nichape bila rubber
Shots saba kuwakaba
Kama kamebeba ninacheza na masyanda
Kwela kama venye bigi ninapanda kama ladder
Lockdown, touchdown baby come down
Downtown kuwabeba mpaka uptown
Tuko locked makejani unaweza go down
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Siwezi chokoza na digi mi huchokoza hii
Nachokoza masegere mpaka mtu anitii
Na ju ni biz inaning'ora biz inanipima
Biz inaning'ora ikining'ora mi huifira
Na biz ikinibamba mi huipiga makombi
Nazitokaga fiti naipiga na 69 0h my
Chokoza na hii man a D
Chokoza karazi kakipiga Sagani, oh my
Chokoza wajue hatuogopi
Chokoza wajue trending na hatutoki
Mimi na man a D tuko locked
Cheki tuko locked, cheki tuko locked
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Tuko backstreet hapa Imenti
Tukimonchoka na magala makeki
Mali safi safi ni mapengting
Kidogo wakaanza misbehaving
Juu ya gode, juu ya tembe juu ya codeine
Madudu si ni walevi vidingi
Nakushow this side ni kulit
Blue Ice ndio pombe legit
Dogo dogo tukiseti mi ndio pedler
Kingpin nimewashika ka sticker
Look safi ka Nairobi West Niccur
Kuwateka kuwakunywa si ni maninjas
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Mi ni most wanted Nairobi
Huwezi stop reggea
Uliza Man a D, wanatii wametii
Huwezi stop reggea
Mi mtovu wa nidhamu nikarushwa kwa mariamu
Ni mambaru, wamekula moto juu nimevatua mariamu
Ni mbughundu, ni mbughundu woza
Niko nao mundu khu mundu
Zimenyilo zimenyilo
Tupatane kona mbaya mundu khu mundu
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Woza tuko locked (Tuko locked)
Na mabam bam biggy tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Tuko locked, tuko locked, tuko locked
Hata ukitoa lock tuko locked
Watch Video
About Tuko Locked
More DMORE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl