Shikishaa Lyrics by DMORE


Wooza, woooooooza mtu wangu bana baite
(Eh man a badmanting) (The Beatkiller)
Jaza, jaza, jazaaa hizo vitu hapo ndani bana
Nataka loo tena ifike hapa kw..
Na usieke kilalo, usieke kilalo
Jaza maini...maiiniiii

(Prince on the beat)

Saba na shikisha, shikishaa
Jaba shikisha, shikishaa
Tumbla shikisha, shikishaa
Mjanja na shikisha, shikishaa

Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa
Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa

[Nelly the Goon]
Bash na nia lote ni umati
Bash kabla niende nicheki ngwati
Bash ma ayela kwenye tambla ni muratish
Bash chipo mwitu na ametoka Terriyaki

Bash mwenye keja ameibiwa patipati
Bash ni ya mababi na wanati
Bash makondiko zilitupwa juu ya mabati
Bash mwenye mzinga ndo anaketi katikati

Misbehave alisema anaitwa misbehave
Misbehave twende pale tukamisbehave

Saba na shikisha, shikishaa
Jaba shikisha, shikishaa
Tumbla shikisha, shikishaa
Mjanja na shikisha, shikishaa

Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa
Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa

[Dmore]
Hakuna wololo, hakuna usololo
Naseleleka tu pande za Ololo
Anakupa resha niko na Otongolo
Kando nimekumba toto wa Kiwalalo

Najitambua ka Mr Ochungulo
Madeal zangu biggy nafanya na Kabogo
Kidogo niko meeting Seychelles na Joho
Buda if you don't know now you know

Mi ndio Don boss kingpin man a D
Mi ndo gava hapa hakuna cha ID
Mi ndio addi Ticha mi ndo huwapea ma D
Wanati washatii, wanunue mashati

Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa
Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa

Saba na shikisha, shikishaa
Jaba shikisha, shikishaa
Tumbla shikisha, shikishaa
Mjanja na shikisha, shikishaa

Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa
Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa

[Vunulu]
Aaiii vhane (Aii vhane)
Nashikisha na maghalo wa kipantre
Wako na bigi tanye
Vunulu, Vunulu
Ni mbombo ni susu
Rhumula mwana vhindu vhukundu
Na anapenda yela ni mzungu
Na anapenda vela na mkundu

Pesa kidogo sai naita supper dinner
Pesa kidogo sai nataki ya Ribena
Pesa kidogo sai naroll na madinga
Pesa kidogo sai nafutwa na Shakilla

Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa
Shasha shikisha, shikishaa
Mi mjanja na shikisha, shikishaa
Wewe!

Watch Video


About Shikishaa

Album : Shikishaa (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 18 , 2020

More DMORE Lyrics

DMORE
DMORE
420
DMORE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl