420 Lyrics by DMORE


Issa 420, and 420 we are doing it
Inna style you haffi know that
Big up yourself in haffi baze
You haffi know dat man addi represent dem
Represent all the ghetto youth

(Again go Sevil)

Weka tot mzinga ya kibao
Kuna vile nataka ushikishe umbao
Na madenge niwapapase na mathao
Zimeshika ata kushinda karao

I am baller
Nimejituliza nikiroria mashashola
Mimi najibamba kabla mi sijamakonja
Nikumakie wo, hata ng'ango nimeonja

Leta nare tuchome mmh taka taka
Tuvute harufu ya 'sssh' shada
Ka hauna kutu basi leo hauna shaka
Ju 420 ndo Huddah hushikwa paja

4:20 mi hukuwaga niko kwao
4:20 tukivutaga makoro
4:20 mi hutingaga mabao
4:20 fimbo ya nyayo

4:20 mi hukuwaga niko kwao
4:20 tukivutaga makoro
4:20 mi hutingaga mabao
4:20 fimbo ya nyayo

Ni ile siku ya paradiso
Yaani siku ya paradiso
Leo ni kuwasha tu makoro
Leo tunawasha tu makoro

Tumengoja utadhani ni sikukuu
Ya makuku starehe na mangoko
Waraku tuko zabe tuko ritho
Hatuko nyanya bado tuko macho

Nimejipin walenje iko fiti
Nimejipin gathee na mabangi
Nimejipin yaani katoto kazuri
Kingpin yaani manadii

4:20 mi hukuwaga niko kwao
4:20 tukivutaga makoro
4:20 mi hutingaga mabao
4:20 fimbo ya nyayo

4:20 mi hukuwaga niko kwao
4:20 tukivutaga makoro
4:20 mi hutingaga mabao
4:20 fimbo ya nyayo

Mimi manajulo 
Niko zabe na Dmore
Tuko na Ochungulo

Mimi manajulo 
Niko zabe na Dmore
Tuko na Ochungulo

4:20 ithaa ya waraku
4:20 masaa ya waraku
4:20 ithaa ya waraku
4:20 masaa ya warasta

(And this for the reggea lovers
Tonight 4:20 this is how we do it
Wollan, wollan, yeah man)

4:20 mi hukuwaga niko kwao
4:20 tukivutaga makoro
4:20 mi hutingaga mabao
4:20 fimbo ya nyayo

4:20 mi hukuwaga niko kwao
4:20 tukivutaga makoro
4:20 mi hutingaga mabao
4:20 fimbo ya nyayo

Watch Video

About 420

Album : 420 (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Wanati
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 21 , 2020

More DMORE Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl