Hali Yangu Lyrics
Hali Yangu Lyrics by B CLASSIC 006
B Classic, 006
Na hali ya jana sio sawa na leo
Mwenye mali namuona daily kwa video
Ama ndio tuseme nyota yangu haijang'aa
Na riziki zangu zote zimekataa
Kuomba omba ee daily kama kichaa, ndo sana
Na sio kama naipenda hio hali naichukia
Kamoyo kukaeka hadharani
Hadi huruma, mie mnyonge kimapato
Na sina lolote elimu yangu kikwazo
Ninazidisha mikosi
Ama ndo basi
Mi naondoka kituo, mwenzio naondoka kituo
Mwenzio naumia sana
Wapi hio haki? Mwenzako mimi sielewi
Hali yangu ya matambara, naonewa ee
Sio kweli nakutang'ara
Mwenzako hali yangu ya matambara, naonewa ee
Sio kweli nakutang'ara
Mwenzako hali yangu ya matambara, naonewa ee
Sio kweli nakutang'ara
Wapi hio haki? Mwenzako mimi sielewi
Mi naonewa eeh
Aje aje mtetezi
Aje aje mtetezi
Aje aje anione
Mbele za watu ninanuka
Napopita pita kwa maduka
Hata salamu wanakwepa
Ati kisa mambo hayajajipa
Nimebaki mpweke sana
Akili pia imevurigika
Nimejikita kwenye sanaa
Nione kama mambo yatajipa
Maana sielewi na tumbo linadai kila siku
Na kuna wengi wameshadai huruma hakuna
Majalala ndo nyumba zetu tumeshazoea
Kama mabadiliko sio sana
Hosana tunamuomba ee
Ama ndo basi
Mi naondoka kituo, mwenzio naondoka kituo
Mwenzio naumia sana
Wapi hio haki? Mwenzako mimi sielewi
Hali yangu ya matambara, naonewa ee
Sio kweli nakutang'ara
Mwenzako hali yangu ya matambara, naonewa ee
Sio kweli nakutang'ara
Mwenzako hali yangu ya matambara, naonewa ee
Sio kweli nakutang'ara
Wapi hio haki? Mwenzako mimi sielewi
Mi naonewa eeh
Aje aje mtetezi
Aje aje mtetezi
Aje aje anione
Aje aje mtetezi
Aje aje mtetezi
Watch Video
About Hali Yangu
More B CLASSIC 006 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl