Iko Sawa Lyrics
Iko Sawa Lyrics by KING KAKA
Volume iko sawa sawa
Ayee, Ayee
Volume iko sawa sawa
Ayee, Ayee
Volume iko sawa sawa
Ayee, Ayee
(Usiambiwe a different story manze)
Vile inajiconduct, kubwa, it must be class
Uliskia kulivurugwa trust me it must be us
Na mother alinishow hii gift sometimes hucome nacurse
So big up to all the ages wanaconfuse hate na love
Stop it with the BS bado cut it kama CS
Niko na catalogue over the board sio game hii si PS
Bloggers wanatalk shit, rappers hawatoshi
Kila saa out of topic asante akina Toshi
Na sai rhymes huskii mi naseti, meza na msosi
Nikiwa present wanachora giza, nikibonga wanaskiza
Salute kwa wale wamenihold down tangu siku za banga
Iza is a celebration basi tuingie kiza
Ka ni taa na basi washa washa, it must be us
Volume iko sawa sawa, it must be us(Ayee)
Taa na basi washa washa, it must be us(Ayee)
Volume iko sawa sawa, it must be us(Ayee)
Iko, iko, iko sawasawa
Iko, iko, iko sawasawa
Iko, iko, iko sawasawa
Iko, iko, iko sawasawa
(Usiambiwe a different story manze)
Bado amenikonya kwa rap
Amenizaa straight up facts
From beditter ya Ololo to same track na Kass
Same room na Puff wakipuff puff na pass
Nightshift ka wochi nikitafta macash
Maunjanjez msmooth pia kwa malavida
Nimejipanga kama Adidas
Pesa iko agiza
Maninja wamekunja madiva
Wengi wako sativa
Schedule iko tight yaani virgin kando
Just the other day was with Naomi Campbell
They payed me to party, first flight kesho to Tokyo
Playlist iko extended kama mapua ya Pinokio
Shakespear Odi jo na rende iko dongogio
Ka ni taa na basi washa washa, it must be us
Volume iko sawa sawa, it must be us(Ayee)
Taa na basi washa washa, it must be us(Ayee)
Volume iko sawa sawa, it must be us(Ayee)
(Usiambiwe a different story manze)
Iko, iko, iko sawasawa
Iko, iko, iko sawasawa
Iko, iko, iko sawasawa
Iko, iko, iko sawasawa
(Volume iko sawa)
Watch Video
About Iko Sawa
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl