Ringa Lyrics by WAKALI WAO


Ah cheki, naskia kuku kuku kukukumanga
Naskia kuku kuku kukukupanda
Kwanza ukichuchu chuchu chuchumanga
Alafu ukizungu ngungu zungungukanga

Dem anatingisha akizungusha marinda rinda
Alafu anadodosa akirombosa anaringa ringa
Hebu cheza we ringa, hebu cheza we ringa
Alafu anadodosa akirombosa anaringa
Hebu cheza we ringa, hebu cheza we ringa
Alafu anadodosa akirombosa anaringa 

Kim Swat nimeingia na flow ingine
Ninataka hawa madem wa 254 waringe
Kwanza Becky na Emmy, Jenny Kaleche
Ninataka hao wote, wakuje wanipe

Nataka niball ju ya ile design nawamanga
Ka ni ho, si unajua kanafaa dimanga
Weka kinanda niruke ka mjaka
Juu nimesikia dem yako ananitaka
Kaa rada buda boss au simama
Ju kutoka leo we ni mpenzi mtazama

Acha mambo mengi huwezi punguza umama
Itikia matokeo dem yako ashahama
Ju napenda dem yellow design ya wakamba
Kadem kana haga kama taxin ya jaba
Kadem hakana umama kanapenda ikitamba
Kadem tu kasafi kanapenda kuethamba

Dem anatingisha akizungusha marinda rinda
Alafu anadodosa akirombosa anaringa ringa
Hebu cheza we ringa, hebu cheza we ringa
Alafu anadodosa akirombosa anaringa
Hebu cheza we ringa, hebu cheza we ringa
Alafu anadodosa akirombosa anaringa 

Niko na mkoba rieng, nakapeleka narieng
Ju leo niko na weng, pia luzungu nitatweng
Kwanza we msupeng, kwenyu unarudi when
Ju nilishakubeng, ukachezea mjukubeng

Niko mashada mavela jo nimeiva
Na ukikatika majoto jo unanipandisha
Ka bombo rasta mabomper kameivisha
Ukilegeza napima ka tape measure
Kama fundi mgongo napimanisha
Zangu gwado majoo tu kunyesha nyesha
Shika magoti mchuma tu kuthesha thesha
Ukianika mahaga kutetemesha

Basi cheza kama wee, wewe
Cheza kama wewe
Tingisha kama wee aah
Rotate kama wewe bomber
Kuna vile uko juu kama denge
Tena unafly kama mwewe mama
Ukishake unanipa mi kiwewe
Come closer mi nataka kubeng beng

Niko fegi manjugu aluta
Kuna mtoto mi nataka kuteka
Huyu mtoto ameiva kuiva
Na venye ninaona nitagonga kugonga
Thobotha na kukoroga
Aki ya nani mi nataka kusongesha
Mmmh chuma tu inatembea
Kila pande mmmh aah

Dem anatingisha akizungusha marinda rinda
Alafu anadodosa akirombosa anaringa ringa
Hebu cheza we ringa, hebu cheza we ringa
Alafu anadodosa akirombosa anaringa
Hebu cheza we ringa, hebu cheza we ringa
Alafu anadodosa akirombosa anaringa 

Prr Kang Kang Wakali wao VDJ Flex x Lofe under Mikey

Watch Video

About Ringa

Album : Ringa (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Wakali Wao
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 03 , 2019

More WAKALI WAO Lyrics

WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl