Katatamba Lyrics by WAKALI WAO


Chora saba napenda ukiinama
Napenda vile mahago huzitingizanga
Na kama  boo ni mgongo nipige randa
Washa kishada wasupa kuwakumbaga

Na katatamba lazima leo katatamba
Na katatamba lazima leo katatamba
Na kakitamba wasupa lolo kulamba
Ni kuwasamba kusere na kujibamba

Na katatamba lazima leo katatamba
Na katatamba lazima leo katatamba
Na kakitamba wasupa lolo kulamba
Ni kuwasamba kusere na kujibamba

Na katatamba msupa umenibamba
Washa kashada alafu tingiza haga
Tukiinama mdiva chora saba
Ni kuwasamba lolo watalamba

Mzinga saba waiter leta here
Hadi Lavender, Brenda karibia
Ni mavidevu mafisi kufisia
Nina hisia selekta kanyagia

Kuwamanga kwa kiti kwa kitanda
Nimejipini mchuma sikizia nyuma
Weka lawama mbleina ntakushanda
Na katatamba msupa katatamba
Cheza na rada leo leo katabamba

Kutumanga wasupa ni kuwamanga
Ni kama pedi na rizla zimenibamba
Ukianika ka fundi nipige randa
Naplay nikipause back design ya kanda

Cheki ya kwanza ni njoti na kajaba
Cheki ya pili mi huwashanga kishada
Cheki ya tatu ni chok kata waba
Nipate baze kakishika na kakitamba

Ni kujibamba wasupa ni kuwasamba
Cheki Mellisa, Belinda na kina Liza
Usishangae jo boychild kushangilia
Na ka ngamia lazima nitapandilia 

Chora saba napenda ukiinama
Napenda vile mahago huzitingizanga
Na kama  boo ni mgongo nipige randa
Washa kishada wasupa kuwakumbaga

Na katatamba lazima leo katatamba
Na katatamba lazima leo katatamba
Na kakitamba wasupa lolo kulamba
Ni kuwasamba kusere na kujibamba

Na katatamba lazima leo katatamba
Na katatamba lazima leo katatamba
Na kakitamba wasupa lolo kulamba
Ni kuwasamba kusere na kujibamba

Katatamba katatamba yoh yoh
Ni kuzitoka zimeshika Wakali Wao
Kuwasha shasha chora saba ndio hao
Big bang galdem umenibamba

Piga tamu ka chupa ya Fanta
Lamba lolo, lolo utailamba
Zikishika namshika ye anadai kuwakisha
Kuna msupa ataitana hebu leta hio mzinga

Hadi ngware hajazima ndogogio pima pima
Leta soda litre litre kikoro wakisha wakisha
Pitisha pitisha fikisha inamisha
Biringisha mi napenda ukitingiza viler vile umeivisha
Chwani chwani ushaniteka kiuno rasa umezibeba

Kama katatamba tuite tu dem wa kamba
Ki ish kimewaka na kibash kinabamba
Madem wamebleki wameanza tupa rada
Ahahaha wameanza tupa rada

Na 'Sssh' imewaka imeanza kuenda round
Na madem wamenyc wameanza ku-go down
Down to the toe wanaanza tippy toe
Wana take it low, take it low take it down
Toka leo tu usiku tunakesha mpaka down
Ah-ah tunakesha mpaka down, na down na down

Chora saba napenda ukiinama
Napenda vile mahago huzitingizanga
Na kama  boo ni mgongo nipige randa
Washa kishada wasupa kuwakumbaga

Na katatamba lazima leo katatamba
Na katatamba lazima leo katatamba
Na kakitamba wasupa lolo kulamba
Ni kuwasamba kusere na kujibamba

Na katatamba lazima leo katatamba
Na katatamba lazima leo katatamba
Na kakitamba wasupa lolo kulamba
Ni kuwasamba kusere na kujibamba

Watch Video

About Katatamba

Album : Katatamba (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 15 , 2020

More WAKALI WAO Lyrics

WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO
WAKALI WAO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl