DIZASTA VINA Nobody Is Safe 4 cover image

Nobody Is Safe 4 Lyrics

Nobody Is Safe 4 Lyrics by DIZASTA VINA


Somebody gotta die today
(Ringle this one’s classic men)

Ah! Haters, Haters
Nimekuja kuwapa msongo wa mawazo, mi’ ni pay cut
Nilikotoka bingwa, Ila jamii imeshiba sana ujinga
That’s the reason I’m not famous
Haters, haters
Nimekuja na uthibitisho your favorite rapper is lame ass
An Orthodox delivery, since way back
Kama K-Dot, look my bar game is A-plus

Ushasikia kua maemcee wanatisha sana (waongo)
Nilipofika walifikiria kuhama (bongo)
Logo ni chafu, mgongo na mbavu
Mbombo ni ngafu napotingisha alichonipa mama (Ubongo)
I eat people
Nyoko kila ukinifata ume-beep kifo
Wanamaabara walinikata nika-bleed vito
Infinite sign sifiki mwisho ndio naanza
Uh! Na huu ni mfano wa ma-group saba ya wezi
Nyoko hata ukiwa Sugu hapa hauchezi
Waulize makada natema ngumu sana haumezi
Utaishia kuomba msaada kwa Mungu baba mwenyezi. Bless

Ah
Eyoo sicheki na wapuuzi
Nipo OG emcee si-dress na mapuli
Kesi ni ya Shakespeare, Tenzi mia, bongo mpaka UG
Ma-emcee hawanipendi kama nduli
Nasimama kama Eiffel Tower naangaza jiji
Ambalo nipo tangu ma-star wa bongo hawajaanza kiki
Kabla vimbelembele hawajaenda nyuma
Nika-lay low bendera ya chuma mlingoti wa chuma
Mi ni zigi ninayeficha stimu mtaani wananijua kama mshindi
Sauti ya mamlaka napoamua hawapingi
Kama anavyoamua mdingi kwenye vikao vya dharura
Imesheheni Medulla, vingi navijua na siringi jamaa
Kikatili ninapoisafiri mento
Ni mfano wa jangili waliemkabidhi beto
Wanabadili nyenzo, napojadili angles tofauti
Kama nabii jinsi nnavyoitabiri kesho

Ah, Sijui mwisho ila najua niende wapi
Mtaa umeniita wito niitike niitende kazi
Nakomaa sio simple, licha ya kusemwa na wasengenyaji
Nageuka kifo, idea inayofanya mkakeshe church
Ah! Asili kama masai na lubega
Wastani wa sukari unaofanya chai inapendeza
Sauti ya umma natangaza rai inaeleweka
Naishi uswazi ila natema yai kama vegan
Ma-code ya ki-programmer, Nani wa ku-compare
Ball player nadondosha record pro kama
NBA athlete, Level soo sana
Controversial kama September eleven na Osama
Ah,  Sina makuzi ya kubuni vyama
Sivumi kama trending za leo, emcee naishi future
Ila nna maufundi tangu jana
Napitwa na upuuzi maana maufundi yamejazana
Bahati mbaya yamezibwa, wanadhani ni adimu
Madini yamefanywa siri kama marking scheme
Nami sipigi magoti sizitaki hizi team
Nachotaka ni mishkaki na ndimu
Nirumangie ma-emcee maana sijala tangu juzi nina njaa kali
Ninalea wanafunzi na madaftari yao
Wanageuka wakufunzi kwenye mahafali
Kichwa kimetapakaa books kama library
Style yangu ime-inspire the culture
Ime inspire the Nengos, the Shaulins, the Nachas
The Boshoos, the Killers, the Maarifa, the Rapchas
Nimeacha DNA hata nikidanja sina deni tena
Master… ah, Na-move ka’ Cobra
Simba wa Teranga alafu nina nguvu zaidi ya Drogba
Natengeneza pesa kwa ufundi niliojenga bure
Mtaani naishi kiswazi utadhani sijaenda shule
My game plan is a mystery, kama aliyemteka Mo
Na-change gear from hero to superhero
From defense to striker mode
See, now you see me, now you don’t, peek a boo
My pen game’s impeccable
Forget the rest I’m a true rival
Mnaimba matusi sana kwa maana bongo zenu ni too idle
My next bar is a cheat code no, my last bar is the cheat code
Every bar is too vital
Tulia mwaya hapa wabaya wana-worship
Ni vile wanaona haya ku-report kwamba wanataka-retire
Siwezi kwenda sawa na wanaizaya wanaonigwayagwaya
Huku wana-inspire gossip
Sound amplified and so the message
Look, street verified legend (and) No crown on my head
Ask around I’d be claimed by the crown
King of underground literally I’m down to the earth

Shuhudia master kazini
Amesimamisha kichwa kinamwaga madini
Amekuja na mada ya kufunga chapter makini
Halafu yuko huru dhidi ya siasa na dini
Emcee nimeketi mahala ukweli umesimama
Kwa kina kirefu meli zilizosheheni zinazama
Nimejificha ka’ kibabu cha imani
Moyoni sina hila nimezika vitabu kichwani
Panorama taifa langu
Nimeketi soldier, Verse moja
Nashusha flows za aina tatu
Na-change styles ka’ zinazompa faida changu
Mi ni toleo la mwisho la viumbe wa aina yangu
Ah, Kuanzia Mangloozi mpaka Mwanza
Naonea nyangumi na mapapa. Naonea ndezi
Narusha vitu kwenye anga vinapaa kwa mbawa
Wakati mrushaji nipo chini kama Air-base
Mfano wa mundu au beto
Emcee mtundu kwenye mento
Facts zina-shout beyond your reasonable doubt
Naishi kwenye dimension ambayo miungu tu ina-settle. uh
Hii si ya kutoka chimbo hii
Hii ni gene pool si ya kuita nyimbo hii
Hii si ya kupiga disco hii
This one is legendary, will go down in a history
Media wanaogopa nyimbo zangu kama nudity
Contents zinawarudisha drawing board kama new desease
Just let the game change
Prof you can retire now, ‘cause the game is in my safe hands

Watch Video

About Nobody Is Safe 4

Album : Nobody Is Safe 4 (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : May 05 , 2022

More DIZASTA VINA Lyrics

DIZASTA VINA
DIZASTA VINA
DIZASTA VINA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl