Nivushe Lyrics
Nivushe Lyrics by JOEL LWAGA
Mambo ni mengi nimepitia
Machozi ni mengi nimelia
Hata kicheko ni cha bandia
Kinafunika mengi ninayopitia
Ila najua, niko na Mungu
Yabidi isio na haya majuto
Tena si ya ulimwengu, ule uchao
Ila ni ya ulimwengu, huu wa leo
Eh Bwana, nivushe nivushe
Nivushe ng'ambo, nivushe ng'ambo, nivushe ng'ambo
Nivushe nivushe
Nivushe ng'ambo, nivushe ng'ambo, nivushe ng'ambo
Maana najua, si kusudi lako niishie hapa
Maana najua si kusudi lako nikwame
Maana najua, si kusudi lako niaibike
Maana najua si kusudi lako nianguke
Sa nyoosha mkono wako, univushe ng'ambo ya pili
Maana nimefika mwisho, wa uwezo wangu na akili
Nipe kuyaishi yale, mazuri uliyo niahidi
Nisiyaone kwa mbali, niyashike na kuyamiliki
Nivushe nivushe, nivushe ng'ambo
Nivushe ng'ambo, nivushe ng'ambo
Nivushe nivushe, nivushe ng'ambo
Nivushe ng'ambo, nivushe ng'ambo
Watch Video
About Nivushe
More lyrics from Trust (EP) album
More JOEL LWAGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl