CONBOI Till I Die cover image

Till I Die Lyrics

Till I Die Lyrics by CONBOI


Imma do this shit till I die
Kusema tu ukweli I'm never gon stop
Kuja mi ningeshakuwa lifestyle
Ain't got worry about motherfckn uncle

Ata nimefika never play
Came a long way na ilikuwa worst days
So the fck what you tryna tell me?
Don't you see blood on my feet?

Yeah your nigga pon the street
Working night days of the week
I never go to sleep
A lot of shit am never gon speak

Lost my mama tangu nikuwe standard 3
2003, ngumu kuelewa 
Coz ni wazi hata hungekuwa na mi
Been thru' shit toka enzi nilipokuwa rashi

Smoking this weed 
To release this pain inside of me
Sometimes I wish my mom was here 
Angekuwa proud of me

Usiku wa manane niko natafakari
Mgongo kwenye bed macho kwenye dari
Nawaza mbali nataka nyumba and a fuckn rari
Ndo maana mjuba huwezi nikuta pahali si hatari

Sometimes na wahuni tukiflow party
Ujue ni baada ya kazi kubwa na wala sio zari
Nacelebrate poppin bottles tukicelebrate
Lame ass niggas what you tryna hate?

Imma do this shit till I die
Kusema tu ukweli I'm never gon stop
Kuja mi ningeshakuwa lifestyle
Ain't got worry about motherfckn uncle

Ata nimefika never play
Came a long way na ilikuwa worst days
So the fck what you tryna tell me?
Don't you see blood on my feet?

Yeah honestly
Don't you see blood on my feet?
Yeah honestly
Don't you see blood on my

Look in my thoughts 
Tryna think about this life
Na bongo bila mchongo ujue ni tight
I wanna make it right 
That's why I don't sleep at night
Ata i-go back to back everyday is alright

So alright, kwangu naona poa tu manze
Siwazi ka nachoka maana bado niko tei
Sometimes I hear voices in my head
Zingine zikiniumiza ilimradi nipotee gadmn!

Jiulizi wanapenda tu kusizi
It means like a - sio kupenga angekuwa chizi
Vitu zingine niliamua hatu-take easy
Stress ikizidi naenda ufukweni mto catch the breezy

Ah utani wa nini kwenye kazi za watu?
Kama kweli unajiamini usiwe muumini wa wafu
Ungana na mimi ukiamini kama umenimasafu
Siku nikitusua hapatakuwa na nguvu ya watu

Jitihada zinakuwa zaidi ya mtoto anayetambaa
Asante Mungu nimekuwa ingawa baba alinikataa
Sikumtupa nilimjua japo ndugu alinishangaa
Bana Dar nasonga hata sijakata hata tamaa

Imma do this shit till I die
Kusema tu ukweli I'm never gon stop
Kuja mi ningeshakuwa lifestyle
Ain't got worry about motherfckn uncle

Ata nimefika never play
Came a long way na ilikuwa worst days
So the fck what you tryna tell me?
Don't you see blood on my feet?

Yeah!

Watch Video

About Till I Die

Album : Till I die (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 09 , 2020

More CONBOI Lyrics

CONBOI
CONBOI
CONBOI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl