La La Lyrics
La La Lyrics by MIMI MARS
Ooh la la
Ooh la la
Show dem you a bigi boy
Waonyeshe sijiwezi kwako niko hoi
Kwenye sekta ya mapenzi baby haupoi
You make me feel; ooh la la
Nichezeshe niwe goi goi
Nipeleke nirudishe niwe wako toy
Nielekeze niamrishe kwako sichomoi
You make me feel; ooh la la
Kwa bed michezo ya mito
Nakuita daddy nakuita papito
Tupo karibu sufuria na jiko
Wa kalam me wako mwandiko
Ding ding dong moyo wangu ding dong
Yani kwa kasi yadunda mapigo
I wanna sing a song hear this song
I want to make this your favorite song
Ooh la la, ooh la la
Baby come closer
Ooh la la, ooh la la
Oh yeah, oh yeah
Ukinigusaga goosebumps
Nakuaga kama nimepigwa na shoti
Ukinigusa ka moyo
Kanakuga kama kamepigwa na shoti
Ulivyo mtam kama chocolate
Nikilamba naimba (ooh la la)
We mzuri kama mdoli eti
Kila nikukuona naimba (ooh la la)
Namwona simba kama yuko lindoni
Kule DM ntampiga nyundo
Na nyumbani naeka swimming pool
Si unapenda kuogelea
Wee motto kama mtanga manukato kama jini jinni (ooh la la)
Unanikosha hako kashanga
Sibanduki ushanipiga pini (ooh la la)
Ding ding dong moyo wangu ding dong
Yani kwa kasi yadunda mapigo
I wanna sing a song hear this song
I want to make this your favorite song
Ooh la la, ooh la la
Baby come closer
Ooh la la, ooh la la
Oh yeah, oh yeah
Baby come closer
Ooh la la, ooh la la
Ooh la la, ooh la la
Baby come closer
Watch Video
About La La
More MIMI MARS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl