
Hater Lyrics
...
Hater Lyrics by MIMI MARS
Proud of myself
Baba god amenibless
I love myself
Ain’t nobody gonna stress me
proud of myself
Baba god amenibless
I love myself
Ila kuna watu wanahate
Wee nuna
Kama unakunja wee kunja
Vuvula
Nikuogope wewe nani
Wee nuna
Kama unakunja wee kunja
Vuvula
Nikuogope wewe nani
Tabasamu usoni
Kwa ndani, moyoni
Kumbe ni ma hater
Tabasamu usoni
Kwa ndani, moyoni
Kumbe ni ma hater
Damn damn damn
Damn damn damn
Kumbe ni ma hater
Damn damn damn
Kumbe ni ma hater
Damn damn damn
Wanakuchehea kwa face
Ukiondoka wanakusema
Wanakusema
Kumbe ni ma hater
Hata ufanye nini
Wao hawaonagi jema
Hawana jema
Kumbe ni ma hater
Me naishi maisha yangu
Kujuana isiwe tabu
Usinikate vibe
Mbona unanikata vibe
Me naishi maisha yangu
Kujuana isiwe tabu
Usinikate vibe
Mbona unanikata vibe
Vibe vibe
Mbona unanikata vibe
Vibe vibe
Mbona unanikata vibe
Wee nuna
Kama unakunja wee kunja
Vuvula
Nikuogope wewe nani
Wee nuna
Kama unakunja wee kunja
Vuvula
Nikuogope wewe nani
Tabasamu usoni
Kwa ndani, moyoni
Kumbe ni ma hater
Tabasamu usoni
Kwa ndani, moyoni
Kumbe ni ma hater
Damn damn damn
Damn damn damn
Kumbe ni ma hater
Damn damn damn
Kumbe ni ma hater
Damn damn damn
Watch Video
About Hater
More MIMI MARS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl