Tiamo Lyrics
Tiamo Lyrics by SMILE THEGENIUS
Ya nurula in kwako sinaga maneno
Nipo tafarani nishafikaga kikomo
Na ulivyo lain wakulaga vinono
Twende nchi gan Cuba ama Philipino
Nami natulia
Nikiwa nawe amini
Yaani nakwambia nishakulaga ya amini
Nawe hutojutia, wewe kunipenda mimi
Nishasabiliaa, moyo mpaka maini
Basi zunguka kidogo ukichutuma
Katika kidogo huku umeinama eh
Zungusha kidogo danadana
Huku vetu viuno vikiunganaa
Ti amo, ti amo, ti amo my sweet potato
Ti amo, ti amo lololo
Ti amo mi nakupendaga sana
Ti amo, ti amo eeh tiamo my sweet potato
Tiamo, tiamo
Kwa sura umenimaliza kwa chumba umeniweza
Sinagaga chokochoko pande bili
Jasiri umenifunza cihafu umenikkataza
Lololo wangu ni wewe
Ooh nicharangecharange
Ukipenda niounge kama mwana kwa mama
Sumu kaloo kupenda
Tamu hasa ukipendwa na miee sana eeh
Hakulalamaa sunna sana aah
Penzi langu mie
Namuomba maulama kwetu Usiku mchana aah kwetu litimiee
Basi zunguka kidogo ukichutuma
Katika kidogo huku umeinama eh
Zungusha kidogo danadana
Huku vetu viuno vikiunganaa
Ti amo, ti amo, ti amo my sweet potato
Ti amo, ti amo lololo
Ti amo mi nakupendaga sana
Ti amo, ti amo eeh tiamo my sweet potato
Tiamo, tiamo
Basi zunguka kidogo ukichutuma
Katika kidogo huku umeinama eh
Zungusha kidogo danadana
Huku vetu viuno vikiunganaa
Basi zunguka kidogo ukichutuma
Katika kidogo huku umeinama eh
Zungusha kidogo danadana
Huku vetu viuno vikiunganaa
Watch Video
About Tiamo
More SMILE THEGENIUS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl