Hatupumui Lyrics
Hatupumui Lyrics by SMILE THEGENIUS
Unajiamini sana we unadhani kwamba upo peke yako
Eti unapendwa sana na mnatambiana na wenzako
Upo penzini amekuweza yani, upo kwenye future couple
Yani unatamba eti hakuna mwengine Zaidi yako
Yani kutwa nyimbo za mapenzi status
Caption emoji na kubwa kopa
Uliyemtaka ndo tayari umeshampata mwenyewe
Kumbe mwenzako huko analilima tuta
Yupo mwengine anampeleka puta
Unachompa kwengine pia anapata anaenjoy
Na kama huamini
Mwambie akupe password za simu yake
Hilo atakataa eti kila mtu adili na mambo yake
We kila muda yani unalitajataja jina lake
Ye anakuchiti tunaumia sis indo tupo nawe kila muda
Hatu pumui
Hatu pumui
Hatu pumui
Haaaatu pumui
Hatu pumui
Hatu pumui
Hatu pumui
Haaaatu pumui
Penzi jipya ndo linakupa jeuri kwa muda tunakosa raha
Hayo ni mapito yanafikaga mwisho
Kinachojiri kulia na majeraha
Ukimpa pesa kuna mwenzio anampa pochi
We ukimpendezesha yupo mwengine anamtoa out
Ukimnunulia simu kuna mwengine atamnunulia vocha
Waulize wenzio hivi kwa maswabibu gani mpaka wakachoropoka
Na kama huamini
Mwambie akupe password za simu yake
Hilo atakataa eti kila mtu adili na mambo yake
We kila muda yani unalitajataja jina lake
Ye anakuchiti tunaumia sis indo tupo nawe kila muda
Hatu pumui
Hatu pumui
Hatu pumui
Haaaatu pumui
Hatu pumui
Hatu pumui
Hatu pumui
Haaaatu pumui
Yani kutwa nyimbo za mapenzi status
Caption emoji na kubwa kopa
Uliyemtaka ndo tayari umeshampata mwenyewe
Watch Video
About Hatupumui
More SMILE THEGENIUS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl