Chombo Ya Wana Lyrics
Chombo Ya Wana Lyrics by SMILE THEGENIUS
Masikini moyo ata uweka wapi
Maana katu panga panga sijui tuko wangapi
Huuh huuh, kumbe chombo yawana
Niridhani kuwa nipo pekeyangu
Huuh huuh, runde tutaowana
Kumbe nijupotezea muda wangu
Naajali katembea nawangapi
Katu bananisha utadhani miskaki
Ye mwenyewe anajiona ana bahati
Vile wana wanavyo Sukuma ka chapati
Mabawa kapita nae
Sultan king kapita nae
Berry black kapita nae
Nassir vanilla kapita nae
Aah aaah aah
Kumbe chombo ya wana
Aah aaah aah
Chombo ya wana
Aah aaah aah
Kumbe chombo ya wana
Aah aaah aah
Chombo ya wana
Si haba hana ukimwi
Angetuambukiza sote tunge kufa mbali
Yani mtanm ka nini
Sijaona popote kitandani hodari
Yani mashaallah ooh ooooh
Ameumbika kimaumbile ah ah ah
Ila limekuwa daraja la wengi
Nimevuka mimi utavuka na wewe
Tena kimuwa chakula cha wengi
Nimevuka mimi utavuka na wewe
Naajali katembea nawangapi
Katu bananisha utadhani miskaki
Ye mwenyewe anajiona ana bahati
Vile wana wanavyo Sukuma ka chapati
Meja kunta kapita nae
Master kapita nae
Piere liquid kapita nae
Eeh weeeh piere liquid
Eeh mama yangu
Aah aaah aah
Kumbe chombo ya wana
Aah aaah aah
Chombo ya wana
Aah aaah aah
Kumbe chombo ya wana
Aah aaah aah
Chombo ya wana
Anagawa gawa
Ana gawa gawa
Anagawa gawa
Ana gawa gawa
Anagawa gawa
Ana gawa gawa
Anagawa gawa
Ana gawa gawa
Watch Video
About Chombo Ya Wana
More SMILE THEGENIUS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl