Black Ninja Lyrics
Black Ninja Lyrics by CHIDI BEENZ
Mbona umedharau oooo?
Am a black ninja
Yule commandoo ooo
Kutwa na mizinga
Msela na vishoo ooo
Kutwa nzima chinja
Am ready to go ooo
Am ready for war
Mbona umedharau oooo?
Am a black ninja
Yule commandoo ooo
Kutwa na mizinga
Msela na vishoo ooo
Kutwa nzima chinja
Am ready to go ooo
Am ready for war
Heavy weight power kila upande sawa
Kila upande mikono juu wanajichawa
Moshi unafuka, kunanuka dawa
Respect I love my mummy Hawa
Cheers!
Yeah yeah yeah we right here
Watoto wakali, wassup dear
Yeah tukitoka hapa na kule pia
Napenda ukimove macho yanakuangalia
Bounce back hizi pande noma
Wine shot(Pop!), teka mpaka Roma
Sina sura mbili na sina sura kabisa
Macho yako sio yangu huwezi kubisha
Baby love me love me, lamba lamba sugar
Lamba lamba baby, bado bado inachuja
Niko mbali nnje nnje ya dunia
Kufa kufa sie wala tutavukia
Mbona umedharau oooo?
Am a black ninja
Yule commandoo ooo
Kutwa na mizinga
Msela na vishoo ooo
Kutwa nzima chinja
Am ready to go ooo
Am ready for war
Mbona umedharau oooo?
Am a black ninja
Yule commandoo ooo
Kutwa na mizinga
Msela na vishoo ooo
Kutwa nzima chinja
Am ready to go ooo
Am ready for war
Jump around, jump around
Kama chris crosser
Elmagnifico Mr big posser
Kitaa kamari mzunguko mi natosa
Hatuchekani tumbo kama Rick Rosser
Mbona umedharau bora kisu kinakata
Hata watoto nao deal kama ukipata
Niko peke yangu na nakula kwa sauti
Katikati ya kiwanja napiga mashuti
Self-made round table nakuwa mjadala
We unaweza beba begi mi nitabeba ntala
Nitakumbuka swala, mi nitakumbuka Allah
Yeah kisha naibeba ilala, yeah
Mbona umedharau oooo?
Am a black ninja
Yule commandoo ooo
Kutwa na mizinga
Msela na vishoo ooo
Kutwa nzima chinja
Am ready to go ooo
Am ready for war
Mbona umedharau oooo?
Am a black ninja
Yule commandoo ooo
Kutwa na mizinga
Msela na vishoo ooo
Kutwa nzima chinja
Am ready to go ooo
Am ready for war
Watch Video
About Black Ninja
More CHIDI BEENZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl