Kamweretho Lyrics
Kamweretho Lyrics by BOONDOCKS GANG
Ni makurutu morio tupa lugha
Nitakushuku shika ka mkunga
Nina katoto turi kameunga
Funga duka Samantha sitakusuka
Kula ndizi maganda si utatupa
Niko masatchet leo sitaki chupa
Ni kamote mangeus wako dunga
Wabebwe wengine walipe Uber
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ukiteka unathigitha murigo
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ukiteka unathigitha murigo
Imejaa shades ka fifty fity
Ushaiwatch sex in the city meeting
Ichape ngoko missing fisi
Digida rende ndo sisi
Ufisi mangoto vidole ka ndizi, easy
Teka ngeus wasafishe kisimiti
Piga pongi hadi toto aende missing
Na kissing tukishikisha nariddim
Na fisi ashakula tu kisheepy
Chipping cheki vile unapenda miti
Kiti cheki vile ninapenda kiki
Naliki cheki buda una tiki
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ukiteka unathigitha murigo
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ukiteka unathigitha murigo
Mi nadai murigo na leo ikus naimanga tu na gechiko
Ka slayqueen kanauka tu ma oilo
Na kana twin nickname maybe Mashiro
Cheki Madde mi nadai nare walai
Tuwashe pyenga mi tukawadare kwa ndae
Itisha kuku manga kwa wale masai
Ju leo mangwati tutapanguza na tai
Mmmh namtaka yee, haga iko fine sura ka Akothee
Sura iko five haga ni ten kwa ten
Na kwa jeans nina King acha nipakate
Ah mami cheza tu mpaka che
Boondocks, Sailors, Joefes tunawabeba
Hata wabonge watabaki wakikemba
Kazi ni kutesa January to December
Shalkido anawatesa na vilemba
Vuva naye anapenda kuwateka
34 wakilisha hadi Fedha
Wanabaki ndethe wakijua hadi meza
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ukiteka unathigitha murigo
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ni kamweretho, bash ni kamweretho
Ukiteka unathigitha murigo
Watch Video
About Kamweretho
More lyrics from Modo Man album
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl