BOONDOCKS  GANG Hadi Wamnyonyez cover image

Hadi Wamnyonyez Lyrics

Hadi Wamnyonyez Lyrics by BOONDOCKS GANG


Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Si hawa mangeus wanadai kupandwa aah
Si hawa yut wanadai kupanda aah

Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Si hawa mangeus wanadai kupandwa aah
Si hawa yut wanadai kupanda aah

Uchizi pia ni talanta
Pita ukijua ukirudi tunakungoja aah
Msupa wako wa kwanza
Kaa ukijua huyo ndo wangu wa saba aah

Hebu tulia ama utulizwe
Na ukitulia si unajua utawika aah
Na kanare kapitishe
Tuwashe hii kitu si unajua ni pyenga aah

Mimi kijana toka Githu gwai
Wamlambez na wamnyonyez wanataka nyonya mali
Wahenga walisema tu ujana moshi
Na mbona nikiwasha shash mnaniita moshi?

Ah tigana na fagi we Mwangi
Na hizo makali mjaze kwa hizo matangi aah
Leo ni wikendi nipate klabu 
Nikikojolea hizo machupa hamfunikangi aah

Nguvu kizee si uongeze matembe
Eey shika pongi na ukule ka sembe
Eey leo ni mimi hakuna kirende
Piga kindom ukichaki mamende 

Eey huyo slayqueen ni lazima atendwe
Eey huyo lightskin ni lazima apendwe
Eey fika kejani nichachishe kidebe
Eey ni za mugithi ama niweke mulembe

Eey ama za Bongo ati sijui nibebe
Eey ama UG ati sijui ana nyege
Eey ama nimdare ju mtoi ana teke
Eey keja imebishwa na alidai ako peke

Eey seti shash na ulete kinare
Ukitaka cha mvunguni hapa sharti uiname
Aii form flani adi sijui ni ya nani
Aii hapa ni ulambe hadi we ikukane eey

Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Si hawa mangeus wanadai kupandwa aah
Si hawa yut wanadai kupanda aah

Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Si hawa mangeus wanadai kupandwa aah
Si hawa yut wanadai kupanda aah

Cheza chini na hizo stingo nishow
Rada fiti na hizo nginyo nishow
Hatutambui hizo mavitisho
Cheki logo hadi kwa hizo tishoo

Ah wamlambez hadi pedi anaroll
Fagia kwangu brathe kama una roho
Ahh hakuna rubber nafika raw
Aah hakuna fifty hapa ni soo

Huwa anasema si mabani
Ngeus ametekwa amesundwa tu kejani
Hatudai form si hutoa tu majagi
Akidai miti si huchapa bila huruma
Ah eeh wamlambez bila kondiko
Anadai kitu akisema iko jiko
Nice to be tall staki freshi ya Wanjiru
Nice tuko poa hakuna jegi uliza Exray
(Utaniua)

Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Leta moja ndo niseti kimoja aah
Apigwe kitu ndo aache vioja aah
Hapa hakuna ati sijui unangoja aah

Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Si hawa mangeus wanadai kupandwa aah
Si hawa yut wanadai kupanda aah

Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Wamlambez hadi we wamnyonyez aah
Si hawa mangeus wanadai kupandwa aah
Si hawa yut wanadai kupanda aah

Watch Video


About Hadi Wamnyonyez

Album : Hadi Wamnyonyez (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 BNG Media.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 26 , 2020

More BOONDOCKS GANG Lyrics

BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2023, We Tell Africa Group Sarl