Kamebeba Lyrics by SPIZZO

Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)

Kamebamba yes kamedamshi
Nikakapea namna jesh nikidance
Nikakaweka bumper fresh niko ganzi
Nikitoka naye hapa ataiona kazi

Kamebeba kama gari ya karao
Na kamewaka waka zaidi ya colour ya thao
Kuja kwa mgiriama nikushike tushikane
Nikupende tupendane, nikubebe tubebane

Spizzo can rap and Spizzo can sing
Usiulize what happened ingia kwenye ring
Usiwape habari cz habari wanayo
Mtoto anabonge la nundu amefuate nyayo

Come again, come and bend down kamebe(Kamebeba)
Come again, come and bend down kamebe(Kamebeba)
Come again, come and bend down kamebe(Kamebeba)
Come again, come and bend down kamebe(Kamebeba)

Oya pause, katoto kameoverload
Kakipita navunja shingo ooh
Kamejibeba Amber Rose
Kamejibeba Amber Rose yeah

Kama massage baby nikukande
Nikufanye ngazi na nikupande
Tukidamshi monday to sunday
Oh we go we go, you are better than them

Akisamasault anajua
Shaku shaku anaua
Kakikifunga huwezi fungua yeah yeah
Huwezi fungua

Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)

Napenda meow nakesha disco 
Siwezi ishi milele that's why siogopi kifo
Mitungi nina crate, sigara napata
Ukinikosa keja nimelala kwenye party

Nafuata upepo ka bendera
Kamebeba kama Nicki Minaj ama Vera
Hana ma-tire kama shepu ya mkambulu 
Akibend siachi gap nammumunya kama buyu

Ham ham, tamu kama bubble gum
Ukijump jump ndani kama umebubble man
Napenda mizigo wananiita zigo boy
Naenda Dar kwa wanao tamani kuwa na mimi hawatoboi

Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)
Come again, kamebend down kamebe(Kamebeba)

Watch Video

About Kamebeba

Album : Kamebeba (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Fast Cash Music.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 04 , 2019

More SPIZZO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl