Super Lyrics

FRED ABIO Feat DJ SHITI Kenya | Afropop,

Super Lyrics


Ulipokuwa unaleft  
Ulidhani wewe si jini
Ati nitasuffocate
Kajifanya hotcake
Ukataka kubembelezwa
Kumbe nimeshakudelete

Kila mara taka pizza 
Na umefugwa kwa mirenda
Kajifanya kitega uchumi 
Kila uonacho unaigiza

Nywele zako toka China
Kempinsky twende dinner
Kawa kupe mwenzio
Nikakonda nikabaki kijiti mwili sina

Uliponiacha 
Mwenzio mi nanepa
Ona kitambi kishashuka
Mwenzio mi nanepa

Nkala pa fudhima
Mwenzio mi nanepa
Sina stress wala balaa
Mimi nanepa

Mambo yangu yote(Super)
Mwenzio nilompata(Super)
Ananipa vyote 
Super, super, super

Mambo yangu yote(Super)
Mwenzio nilompata(Super)
Ananipa vyote mimi
Super, super, super

Japo niliamua kukupenda 
Wewe eeh
Ila nikawa kifaranga
Wewe mwewe

Ah-ah moyo wangu ukauvuruga
Atokuni hele za tapata
Sina hata macho ya kukuona
Nahisi naweza tapika

Ni wa kutala anafonza
Nimepate mwingine 
Ananipa raha

Uliponiacha 
Mwenzio mi nanepa
Ona kitambi kishashuka
Mwenzio mi nanepa

Nkala pa fudhima
Mwenzio mi nanepa
Sina stress wala balaa
Mimi nanepa

Mambo yangu yote(Super)
Mwenzio nilompata(Super)
Ananipa vyote mimi
Super, super, super

Mambo yangu yote(Super)
Mwenzio nilompata(Super)
Ananipa vyote mimi
Super, super, super

Leave a Comment