420 Lyrics
420 Lyrics by BOONDOCKS GANG
Heyyy...Gang gang
Mmmh Taniua (Genge la Boondoksi)
20 420 (Magix Enga on the Beat)
Nina chwani kwa pori
Na curfew iko area I'm worrying
Never tell on my story
Na penye mi hunyanya and I'm starving
Bring back the lighter, rastaman go
Rasta man dem, rastaman go there
Bring back the lighter, rastaman go
Rasta commando, nina shash kwa mandoo
I say boom baraye nataka ninyanye
Nataka nijiekelee, ziraruke mpaka chini
Boom baraye nataka ninyanye
Ziraruke mpaka chini
Mababu kwa manyanya si tunyanye kabisa
Wavulana kwa wasichana si tunyanye kabisa
Mmmh, nikisema ngwai mnasema gode (Ngwai, gode)
Ati, nikisema ngwai mnasema gode (Ngwai, gode)
Ati, kuna sherehe kwetu ya kuvuna ngwai
Twende sherehe ya ku-regalise
Kuna sherehe kwetu ya kuvuna ngwai
Twende sherehe ya ku-regalise
Nafula, sitaki unimiss
Niko na kipyeng naeza taka ukikiss
Magura, sitaki unidiss
Niko mashash mi staki mabeste
Western kuna wreso ya jogoo
Na zote zimenyanya kama kondoo
Afande si uwache tu-regalise
Dawa ya cancer tu-regalise#
I say boom baraye nataka ninyanye
Nataka nijiekelee, ziraruke mpaka chini
Boom baraye nataka ninyanye
Ziraruke mpaka chini
Mababu kwa manyanya si tunyanye kabisa
Wavulana kwa wasichana si tunyanye kabisa
Nikisema ngwai mnasema gode (Ngwai, gode)
Ati, nikisema ngwai mnasema gode (Ngwai, gode)
Hapo, VIP, (Hapo VIP)
Hmmh, hhah (Odi ushemeza...)
Hapo VIP I'm the youngest mthf*cker
Ni mamoshi tu kando yangu ni makahaba
Ati mi ni m-young wanacomplain ju ya miaka
Usipass pause sana, utatoa moshi na si moshi ya shada
Ngwai si ngwai kama pedi ye ni mrazi
Mwai si Mwai ka si Mwai Kibaki
Walai niko high ka niliset-ia kwa jeti
Marapper muache ufala mhepange mapedi
I say boom baraye nataka ninyanye
Nataka nijiekelee, ziraruke mpaka chini
Boom baraye nataka ninyanye
Ziraruke mpaka chini
Watch Video
About 420
More BOONDOCKS GANG Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl