Bangi 2 (Shash) Lyrics
Bangi 2 (Shash) Lyrics by JUST IMAGINE AFRICA
Breathing tuko mangwai everyday
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate, yeah
Breathing tuko mangwai everyday
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate, yeah
Zigi, mbichwa ama raw ndo fiti
Mpishi, funga hiyo shada ka mpishi
Ona wamechizi kuvuta nyaru saa zingine tricky
Fukuza ibilisi, shash utakufanya ufeel easy
Niko tu mandizi, ka mkisii ako na bibi
Ka hunishiki, mi hushikwa na madem si machichi
Sijai shikwa na hii fame mi ni gwiji
Sijai fika kwa hii game niko tizi
Sijai kula huyu dem nishai kula huyu dem
Lakini shy tukipatana wawili blunder
Breathing tuko mangwai everyday
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate, yeah
Breathing tuko mangwai everyday
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate, yeah
Dhambi zimeshika kama moto
Wanaiba wakidhani si wasoto
Wanaiba tukubebwa tu utoto
Diapers nimesunda tu kwa mbosho
Just incase nirarukiwe na mbosho (What?)
Za jana tukitibu munchies kwa kibanda
Tulileta fine chics hapa java
Waka-order ice cream na kahawa
Bill ikawa sawa fine chic akahisi kula burger
Kama major nikampeleka Steers nikamnunulia beer
Zikambamba akaanza kuniambia (Nini?)
Sikujui nakutaka itisha taxi tena haraka
Fika home washa hiyo shada
Saka hiyo steam mwonyeshe zimepanda
Toa hiyo jeans mwonyeshe anaconda
Vuta hiyo sleeve leo zinabamba
Round 2 ndo nitakuja kukumada
Kama beat nilipewa na yule drummer
Leo sheets utajua tu ni drama
Zikishuka tunawasha tu kashada
Breathing tuko mangwai everyday
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate, yeah
Breathing tuko mangwai everyday
Tuko kwa sky elevate
This is just how you meditate, yeah
Watch Video
About Bangi 2 (Shash)
More JUST IMAGINE AFRICA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl