Kalongo Lyrics
Kalongo Lyrics by GWAASH
Ka iko fiti basi guza minyoo(aah)
Ka imeshika basi wacha finyoo(aah)
Movie za leo bana ni manginyo(aah)
Form ya maodi na pia mayoo(aah)
Wakilalisha makwela ni war(aah)
Base ni vela na ngem ni wrong(aah)
Hadi mandugu wakuje na porn(aah)
Si hao mangeus pia wakuje na thong
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mangeus wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa watoi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa maodi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mayoo wanapenda kalongo
Fika bei nikupeleke na rada, kaa rada
Ita mangeus niwaonyeshe nani baba, nani baba
Piter Ndei si anapenda miti mama, miti mama
Fika masai ndo uitishe kukumanga aah, kukumanga
Fanya kweli nikuonyeshe vifaa aah
Mpe atosheke yoh vile inafaa aah
Namba nane achore figa aah
Na hako true bana si magiza aah
Leo si jana ni magiza aah
Lep za odi ni maisaa aah
Akitekwa morio iza aah
Na si kichapo ntashika pizza aah
Ebu katika ndo tucheze kalongo
Ebu rombosa ndo tucheze kalongo
Ita makwela ndo tucheze kalongo
Ita machura ndo tucheze kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mangeus wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa watoi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa maodi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mayoo wanapenda kalongo
Toa cladi baby girl baki ndethe
Nimekukemba siku mob we ni genje
Iko nini usijali jo ni nyege
Tabia mbaya leo tutafanya kwa kiti
Cha mama aah, cha baba aah
Vile unanishika joh inaniwasha
Macho zako joh zinanimada
Na nikivua joh utaitaka
Sio siri joh nakutaka
Siko horny joh lakini naitaka
Ruka ruka kwenye baze
Zingusha haga, haga aai
Ebu katika ndo tucheze kalongo
Ebu rombosa ndo tucheze kalongo
Ita makwela ndo tucheze kalongo
Ita machura ndo tucheze kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mangeus wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa watoi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa maodi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mayoo wanapenda kalongo
Abra cadabra nimekam ki-magician
Pang'ang'a mingi achieni politicians
Nina njuri overloaded kama nissan
Na ka ananyesha izo makali jo siwezi itisha
Na unajigamba ati ulikula manzi yangu
Na vile miuchimba iyo kitu hauwezi fikisha
Unajifanya mrui bro tulia upangwe
Si Usikojolee ya wale vichwa na hatuwezi tishika
Zangu ni popote uliza kina Carter
Nina mapeddy war supply godez tenje sita
Nifwatilie ukijifanya wamlambez
Nani utajua mbona kampuni ya kamisi iliisha
Ebu katika ndo tucheze kalongo
Ebu rombosa ndo tucheze kalongo
Ita makwela ndo tucheze kalongo
Ita machura ndo tucheze kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mangeus wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa watoi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa maodi wanapenda kalongo
Iyo story cha baba aah, cha mama aah
Si hawa mayoo wanapenda kalongo
Wanapenda kalongo
Cheki Wanapenda kalongo
Kalongo longo, kalongo longo
Cheki Wanapenda kalongo
Kalongo longo, kalongo longo
Cheki Wanapenda kalongo
Kalongo longo, kalongo longo
Aaah Wanapenda kalongo
Yeah genge la Boodocksi
Fat Boy Gwaaash
Kalo kalo, kalongo longo
Watch Video
About Kalongo
More GWAASH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl