H_ART THE BAND Songea Tule (Christmas Anthem) cover image

Songea Tule (Christmas Anthem) Lyrics

Songea Tule (Christmas Anthem) Lyrics by H_ART THE BAND


Niko kwa baze kwa maskan
Nafurahi tu sana
Mama otek do chapat
Niwai crate ya Fanta
Watoi wafurahi ni kama mi ni Santa
Niko blessed to sana si unajua mi producer
Pewa can za Tusker
Rice na nyama pewa kenya unataka
Turuke tudance na tuongeze tu laughter
Tucheke tu sana ju ni krisi
Ino kwa mfuko pilipili
Jino kwa jino mi sishibi
Akinyi na Wanjiru wapi Cindy?

Sauti za watoto wakicheza zanifurahisha roho
Naona mama amewasha moto anajiandaa kupika chapo
Maji tayari pasha joto, leo sikukuu mlo
Lazima suti tumepima ee

Kuna tukuku na tumbuzi tumechinja
Na tunazo mboga na matunda asali mayai na maziwa
Furaha hakuna kupimiwa, shibe chunga kuzidiwa
Krisimasi imefika tusherehekee

Songea tule, songea tule
Songea tule, songea tule
Songea tule, songea tule
Songea tule, songea tule

Kuna wengine sikukuu ni ho5 na wengine Gucci
Wengine chapo minji matoke nyama choma
Kachumbari tamu ongeza juu uji, haribu waistline kabisa
Wengine mziki tam tam na marafiki karibu
Wengine mogoka mashavu imejaa taxin, si unajua lazima
Wengine chapana na chupa za bia haribu madollar kabisa
Wengine hata hakuna wanatafuta tafuta kwa pipa
Wengine hustle inaendelea kama kawaida
Wengine kanisani shukuru Mola kwa maisha
Wengine lazima sikukuu familia karibu, rip kuku zote na mambuzi pia

Next year karibisha mwaka mpya na si unajua resolutions
Lazima ni mpya, resolutions hakuna
Ulevi ati ni lazima nitaacha kunywa
Mlezi eti ni lazima usingizi kupimwa
Wengine ati mpango wa kando ni lazima aweke kando
Karibu, wivu ya watoto

Next year mimi kukula ni mapizza tu hakuna githeri kokoto
Next year mimi sivai tena kinyasa kaptula
Next year mimi masuti na ma official mandula
Next year mimi hapana zubaa kwa baze tena lazima nitahamia Fedha

Yaani sikukuu ni sikukuu kila mtu sherehekea kwa raha yake
Don't drink and drive ninja kaa safe my ninja
Next year bado tunakuhitaji ninja
Na ukispend usisahau January Landlord hulipwa pia
Na school fees ninja hio hata sitazungumzia

Merry Christmas, happy new year salimia familia
Album yetu si unajua inakuja next year

Songea tule, songea tule
Songea tule, songea tule
Songea tule, songea tule
Songea tule, songea tule

Watch Video

About Songea Tule (Christmas Anthem)

Album : Songea Tule (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 25 , 2020

More H_ART THE BAND Lyrics

H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND
H_ART THE BAND

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl