Uno Lyrics
Uno Lyrics by LAROTA
Asa mbona unacheza ka unaogopa?
Asa ni kipi unashindwa kudondoka
Si mi ndo nimekuita uje nicheze nawe
Mawazo stress zisifanye we upagawe
Ah jimwe, jilete katikati
Taratibu usivutane mashati
Kisha wakuone vile we umetakata
Kama uko single basi leo ndo utapata
Hainaga gogoro, hainaga kasoro
Ata ukiwa solo, watu wanadunda
Hainaga gogoro, hainaga kasoro
Ata ukiwa solo, watu wanadunda
Biringisha, uno uno uno
Chezesha, uno uno uno
Katisha, uno uno uno
Mama, uno uno uno
Biringisha, mama zuia
Nishike hapo hapo, baba zuia
Twende mpaka chini, kaka zuia
Nishike hapo hapo, dada zuia
Pisi kali kama hii wapi utaipata
Iwe chini ama juu, wapi unaitaka
Ngoma kama hii unaicheza popote wewe ulipo
Hii ni rhumba sio kidalipo
Unapanda na chini, unarudi na juu, juu
Usichome maini vunja mifupa tu, tuu
Unakwenda na chini, unarudi na juu, juu
Usichome maini vunja mifupa tu, tuu
Hainaga mgogoro, hainaga kasoro
Ata ukiwa solo, watu wanadunda
Hainaga mgogoro, hainaga kasoro
Ata ukiwa solo, watu wanadunda
Biringisha, uno uno uno
Mama we kata, uno uno uno
Katisha, uno uno uno
Mama, uno uno uno
Mama zuia
Nishike hapo hapo, baba zuia
Twende mpaka chini, kaka zuia
Nishike hapo hapo, dada zuia
Biringisha, uno uno uno
Chezesha, uno uno uno
Katisha, uno uno uno
Mama, uno uno uno
Biringisha, mama zuia
Nishike hapo hapo, baba zuia
Twende mpaka chini, kaka zuia
Nishike hapo hapo, dada zuia
Biringisha, mama
Nishike hapo hapo
uno uno uno... uno
Watch Video
About Uno
More LAROTA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl