Baunsa Lyrics
Baunsa Lyrics by BEST NASO
Penzi lake mieleka
Ila alinipenda na mi nikapendeka
Sema ngumi mkononi
Anarusha kota utasema nadeka
Kilichofanya nikamteka
Nilikuwa msasa kwa bedi namwosha
Tuzo kanipa chumbani
Kipengele bora cha kumpaga waiter
Eti kadata kanasa kasema anataka
Nibaki na yeye
Ila vikasa napata nikimuudhi
Vipi nimuelewe
Mmmh mpenzi wangu komando
Na kapipi na ati anakaba kwenye koo
Anachonishinda ananipa sana doh
Ndo maana nashindwa kwenda kokote
Baunsa akee baunsa
I love you, baunsa akee, anha baunsa
Nakupenda, baunsa akee
I love you, baunsa akee, anha baunsa
Nakupenda, baunsa akee
Namba yake tisa kajaza juu yaani ana kifua
Ananipiga madondi na nampenda sana
Na mabavu sana utadhani sio msichana
Nampenda baby mama
Mi ananituma sokoni
Ye anakwenda gym kuongeza body lake yeye
Siku hizi majirani wananiambia mimi mume bweke
Wananitukana hawajui penzi lake mimi nimelizoea
Twapendana na nitakwenda bara naye eeya eeh
Japo ana nguvu kama John Cena
Kitandani naenjoy tena kwa sana
Ingawa penzi lake la kijeshi bausa
Ananipa vingi siwezi mwacha bausa
Kitandani mateke yaani fundi baunsa
Misoma somasault miereka
Niende wapi tena? Ooh baunsa
Nimefika safari yangu, ooh baunsa
Baby mama habibi, ooh baunsa
Umezama kwenye moyo wangu, ooh baunsa
Tuli tulia, tutakwenda bara nawe
Baunsa akee baunsa
I love you, baunsa akee, anha baunsa
Nakupenda, baunsa akee
I love you, baunsa akee, anha baunsa
Nakupenda, baunsa akee
Mpenzi bausa ngumi jiwe utakuja uniue
Najua wivu ndo mapenzi ila punguza kidogo
We mwenzangu kitu kidogo hasira kama mbogo
Baunsa, baunsa ake
Watch Video
About Baunsa
More BEST NASO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl