
Nikatoke Nao Lyrics
...
Nikatoke Nao Lyrics by BARAKAH THE PRINCE
Ya nini unipande kichwani baby ya nini ooh
Ya nini unilazimishe na sina nilichokifanya mimi
Mwili sexy burudani kwa mwanaume sikatai burudani
Mbona nje sitamani niwe naye kupenda wapaswa kunia mini
Why why unilazimishe unilazimishe kuninyima na Amani ndani
Ata zikipigwa calls za madada unadai michepuko yani
Kwanini unaforce nikubaliane na wewe
Hayo unayoyasema nisha yaacha muda
Na hunipi nafasi unaongea mwenyewe
Hayo unayoyasema nisha yaacha muda
Baby oooh shida nini
Au nikatoke nao ndio ufurahie nikatoke nao
My baby please focus
Wapi kwani unakwama maana unvyoviwaza siviwazi kuvifanya
Maana you don’t care
Wazingua papana venye unavyowaza yapaswa uwaze msichana
We ni wife material one in a million
Hawaning’oi hata waje na millions
The love iko real sio video
I know that so ata hakuna maigizo
Hata kipofu hangekupinga
Na mi mwanao nairinga
Nishakua wako baby ringa
Ujinga siwezi kutenda
Najua unahisi ni pisi kazi
Napoelekea fukuzwa kazi baby iko wazi
Nakuweka wazi
Najua unahisi ni pisi kazi
Napoelekea fukuzwa kazi baby iko wazi
Nakuweka wazi
Au nikatoke nao ndio ufurahie nikatoke nao oooh
Nikatoke nao ndio ufarihie nikatoke nao nikatoke nao oooh
Najua unahisi ni pisi kazi
Napoelekea fukuzwa kazi baby iko wazi
Nakuweka wazi
Watch Video
About Nikatoke Nao
More BARAKAH THE PRINCE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl