Naenjoy Lyrics
Naenjoy Lyrics by ASLAY
Wa leo mimi wa leo
Wa leo sio wa jana
Aslay
Maisha ndo yale yale
Aah kuteswa ni kama funzo
Mmmh mengine tuyasamehe
Oooh tusiweke viulizo
Kikubwa uhai
Nashukuru ninao sijakufa
Ila kuhusu mapenzi sitaki show
Nimeyakuta
Kukesha kesha mawazo mzongo
Sitaki tena kupigana pigana naogopa chongo
Sitaki tena mlemavu akichoka anipa magongo
Sitaki tena kutwa kulia lia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuwache shobo
Tutazikwa wazima wazima
Eeh eeh eeh
Bora nitulie
Umri wangu mi bado mdogo
Nisitake ya watu wazima
Naenjoy, naenjoy mama
Naenjoy, naenjoy sana
Naenjoy japo kuwa sina kitu
Naenjoy mama
Oooh naenjoy, naenjoy sana
Nakukumbatia mtafuna roho yake
Asikwambie mtu, mtu yeyote
Ah, jamani shuka zina joto lake
Asikwambie mtu, kitu chochote
Kugandana gandana
Kuzuga tunapendana
Mwisho twaaza kuulizana
Sitaki
Mila sizitaki nyama
Kupenda nimesimama
Moyo wangu umegoma
Hautaki ng'o
Kukesha kesha mawazo mzongo
Sitaki tena kupigana pigana naogopa chongo
Sitaki tena mlemavu akichoka anipa magongo
Sitaki tena kutwa kulia lia kutapika nyongo
Mapenzi yana wenyewe
Si wengine tuwache shobo
Tutazikwa wazima wazima
Eeh eeh eeh
Bora nitulie
Umri wangu mi bado mdogo
Nisitake ya watu wazima
Naenjoy, naenjoy mama
Naenjoy, naenjoy sana
Naenjoy japo kuwa sina kitu
Naenjoy mama
Oooh naenjoy, naenjoy sana
Watch Video
About Naenjoy
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl