Ichote Lyrics
Ichote Lyrics by BENSON
Mami eeh, pumba pembua
Wasikupige chanda vimondo
Unamuua na pua
Simwoni yana vigogo
Hatari, hatari moto
Chunga my beiby
Watakuhonga Ferrari wakupige moto
Chunga my beiby
Nibebe nibebe leo
Nikande nikande leo
Kwa banda wapige deo
Gunju chali
Nibebe nibebe leo(Leo)
Nikande nikande leo(Leo)
Kwa banda wapige deo(Deo)
Gunju chali
Naichote
Mama naichote
Unakata ichote
Mama naichote
Naichote
Mama naichote
Unakata ichote
Mama naichote
Mama zima kibatari
Leo ni chocho kwa chocho, we mdoli
Na peku bila kanda mbili
Weka mbali na watoto, ooh mwiba
Mpakato mpakato ooh yeah yeah
Mikato mikato ooh yeah yeah
Kajoto kajoto ooh yeah yeah
Kalete kalete
Ng'ata ng'amu ng'amu shikilia
Ng'ang'ania shindilia
Watakuja rumu fumania
Puuzia wakiongea
Nibebe nibebe leo
Nikande nikande leo
Kwa banda wapige deo
Gunju chali
Nibebe nibebe leo(Leo)
Nikande nikande leo(Leo)
Kwa banda wapige deo(Deo)
Gunju chali
Naichote
Mama naichote
Unakata ichote
Mama naichote
Naichote
Mama naichote
Unakata ichote
Mama naichote
Naichote hiyo
Naichote hiyo
Naichote hiyo
Naichote hiyo
Watch Video
About Ichote
More BENSON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl