Uji Lyrics
Uji Lyrics by BENSON
Benson
Penzii limenikaa kama kashata basi niletee na kahawa
Nakuwashia taa nakuangalia vile unakuja hapaa
Haya mapenzi kama ya ulayaa
Na mimi nayakunywa kama bia
Mpenzi wangu wee moto fire
Atawambea wakikanyagia
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
Usininyime makusudi
Pigo za nenda rudi
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
Usininyime makusudi
Pigo za nenda rudi
Nipende nikupende
Nipende nikupende
Nipende nikupende
Nipende nikupende
Nipendee aaah nipendee
Ooh nipendee aah nipendee
Ooh nah nah
Mambo mazitoo
Mpwito mpwitoo
Mtoto wa moto ile mbayaa
Ulicho nacho ndokinafanyaa
Mpaka mi napagawaa
Ooh baby Nipe nipee
Ooh baby Nipe nipee
Ooh baby Nipe yotee
Ooh baby nipe nipee
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
Usininyime makusudi
Pigo za nenda rudi
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
Usininyime makusudi
Pigo za nenda rudi
Nipende nikupende
Nipende nikupende
Nipende nikupende
Nipende nikupende
Nipendee aaah nipendee
Ooh nipendee aah nipendee
Ooh nah nah
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
Watch Video
About Uji
More BENSON Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl