Mi Amor (Acoustic Version ) Lyrics
Mi Amor (Acoustic Version ) Lyrics by MARIOO
Mi amor, te amo
Uuh baby, mon amour
Hakuna mwengine wa kumsikia
Kwenye masikio yaaangu
Hakuna mwengine wa kumuona
Kwenye macho yangu
Nibebe nibebe
Honey nishushe mahabani aah
Nigege nigege eh
Me kwako taabani
Eeh eeh eeeh ah, mi amor mmh
Nikuite jina gani baby
Honey ama boo, mon amour
Eeh eeh eeeh ah
Mi amor mmh
Nikuite jina gan mahabuba au lazizi
Aah au Mon amour
Mon amour, Mmmh eeh aah
Moyoni ulivonikaa never seen before
Hata navyonipa never seen before
Wengine wa nini? Oh la la la, la la
I never seen before
Tuwe wote mpaka kifo
Madungaembe wa niniii?
Oh la la la, la la la
Kwenye joto nipepee
Kwa baridi nikupambate iiieh
Kwenye mvua nikinge
Kama mwamvuli
Nibebe kanitupe kileleni
Ah nipe yote yote aah taabani
Aah mi amor, hapo sasa
Watch Video
About Mi Amor (Acoustic Version )
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl