
Paroles de Mi Amor (Acoustic Version )
Paroles de Mi Amor (Acoustic Version ) Par MARIOO
Mi amor, te amo
Uuh baby, mon amour
Hakuna mwengine wa kumsikia
Kwenye masikio yaaangu
Hakuna mwengine wa kumuona
Kwenye macho yangu
Nibebe nibebe
Honey nishushe mahabani aah
Nigege nigege eh
Me kwako taabani
Eeh eeh eeeh ah, mi amor mmh
Nikuite jina gani baby
Honey ama boo, mon amour
Eeh eeh eeeh ah
Mi amor mmh
Nikuite jina gan mahabuba au lazizi
Aah au Mon amour
Mon amour, Mmmh eeh aah
Moyoni ulivonikaa never seen before
Hata navyonipa never seen before
Wengine wa nini? Oh la la la, la la
I never seen before
Tuwe wote mpaka kifo
Madungaembe wa niniii?
Oh la la la, la la la
Kwenye joto nipepee
Kwa baridi nikupambate iiieh
Kwenye mvua nikinge
Kama mwamvuli
Nibebe kanitupe kileleni
Ah nipe yote yote aah taabani
Aah mi amor, hapo sasa
Ecouter
A Propos de "Mi Amor (Acoustic Version )"
Plus de Lyrics de MARIOO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl