Lotto Lyrics by ARROW BWOY


Am gonna rock you body
Ah me say rock your body
Am gonna rock you body
Yeah yeiii

Leo nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Ata watuzimie taa
Am gonna rock your body
Hey baby washa mishumaa
Baby washa mishumaa

Siku ya mwisho kwa soko
Milele nizikwe nawe
Am not a window shopper anymore
A window shopper anymore

Baraka zimeshuka
Leo ni kuvunja mifupa
Songea nikupake mafuta
Kisha tukunje mashuka

Leo nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Nimeapa for better for worse
I'll be your king kong forever for worse
Cheza chini no rush
I feel your kingdom tusichoke na safari

When I look in your eyes 
I see fire
Fire fire
You are the one that I desire

Aii, baraka zimeshuka
Leo ni kuvunja mifupa
Songea nikupake mafuta
Kisha tukunje mashuka

Leo nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Am gonna rock you body
Ah me say rock your body
Am gonna rock you body
Aaaah ya moto

Am gonna rock you body
Ah me say rock your body
Am gonna rock you body
Aaaah ya moto

Baraka zimeshuka
Leo ni kuvunja mifupa
Songea nikupake mafuta
Kisha tukunje ma- tukunje ma

Leo nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Nakutoa kwa soko
Nikiwa nawe nimeshinda lotto
Kunja chuma ikiwa moto
Aaaah ya moto

Watch Video

About Lotto

Album : Hatua/Lotto (Album)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 03 , 2019

More ARROW BWOY Lyrics

ARROW BWOY
ARROW BWOY
ARROW BWOY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl