Usinimwage Lyrics
Usinimwage Lyrics by ARROW BWOY
Ai ai ai ai, yeah yeah
Dem call me Arrowbwoy
(Kimambo on the beat)
Yaani kama kangaroo, unanitega
Mmmh aah, unanitega
Mi ni wako komando, jegeja
Chii, aah jegeja
Eti umeniweka ndani
Umezima na simu na sipatikani my way
Kwani una jini gani?
Unanipa steam kwako kifuani
Mami ooh mami oooh
I want you to know mami ooh
Ah kwamba ukinimwaga utaniokota yeah
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
(Hatari kwa usalama)
Baby baby aki I swear you de one for me
Baby baby, when you hold me tight you dey kill me
Usiskize ya watu kamwe, katu uniache mie
Kutwa mara tatu mbuzi ndafu nile mie
Kama mtoto nidekeze aah
Kuni moto uchocheze aah
Bakora mboko nitembeze aah
Usinimwage mwage mwage
Kama mtoto nidekeze aaeh
Kuni moto uchocheze aeeh
Bakora mboko itembeee aeeh
Usinimwage mwage mwage Nandy
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
(Hatari kwa usalama)
Kama mtoto nidekeze aah
Kuni moto uchocheze aah
Bakora mboko nitembeze aah
Usinimwage mwage mwage
Kama mtoto nidekeze aaeh
Kuni moto uchocheze aeeh
Bakora mboko itembeee aeeh
Usinimwage mwage mwage Nandy
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
Usinimwage, usinimwa'
(Hatari kwa usalama)
Watch Video
About Usinimwage
More ARROW BWOY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl