Daraja Lyrics
Daraja Lyrics by ARROW BWOY
Dududu …. Dududu…
Masaibu ya mapenzi
Unayependana naye
Kesho anakuchukia
Yule uliyemuenzi
Anageuka sumu kisha penzi anavunjia
Pichaaa, picha
Zote kwa Insta anafuta
Twitter, Twitter
Hashtag anaeka ya matusi
Pichaaa… picha
Zote kwa ukuta anashusha
Kisha anakupiga block
Daraja… daraja ya mapenzi
Wanaopita ni wengi
Daraja… hii daraja ya mapenzi
Wanaovuka ni wachache
Otile na Vera walijaribu kuvuka
(Wakaanguka chupwi)
KRG na Nina walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi
Tanasha na Simba walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi
Jamaa roho safi na Avrila walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi
Tua na Lila walijaribu kuvuka
Waakaanguka
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe, wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe, wewe aah
Naogopa, mapenzi naogopa
Naogopa, mapenzi naogopa naogopa
Kitendawili ya mapenzi
Wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi
Nashindwa kama nitaitegua
Kitendawili ya mapenzi
Wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi
Nashindwa kama nitaitegua
Gua yea yeaaa..
Daraja.. Daraja ya mapenzi
Wanaopita ni wengi
Daraja… hii daraja ya mapenzi
Wanaovuka ni wachache
Mulamua na Caro walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi
Sipogoi na Fishy walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi
Frankie na Korasoi walijaribu kuvuka
Huyo Frankie na Maureen walijaribu kuvuka
Wakaanguka chupwi
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe, wewe
Naogopa, mapenzi naogopa
Naogopa, mapenzi naogopa naogopa
Naogopa, mapenzi naogopa
Naogopa, mapenzi naogopa naogopa
Kupenda naogopa
Watch Video
About Daraja
More ARROW BWOY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl