Mahaba Lyrics
Mahaba Lyrics by ALIKIBA
Yeah
Yogo on the beat
Siku hizi hakuna Mahaba (yeah mahaba)
Mapenzi ya Mkataba mpaka kufa yamekwisha
Ni neema ukiwa unahema
Mapenzi yanachosha Yanafuja raha nafsi yangu inasema
Bura nimpende tu aliyenizaa
Uchungu wa kulia daily
Mapenzi yalinifanya nisile
Na sina kumbukumbu ile
kwamba ulinikoshaaa noo
Uchungu wa kulia daily
Mapenzi yalinifanya Nisile
Na sina kumbukumbu ile
Kwamba ulinikoshaaa noo
Mwezako mi nilikufa
Nikazikwa nikaoza
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka eeh
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza
Mapenzi yalinitesa nimefufuka eeh
Sikiliza kwanza
We Dada, we Dada
Misio mgensi
Yalishannikaba mapezni yalinikausha
Natamani kuwa single ila na upwiru unakaba koo
Mabinti wenye vifundo
Hao ndo mi wanaonitoa roho
Na siri tu jambo lile ni kama chakula lazimanile
Mi mbovu sana wa jambo lile
Na Ufundi wa kutosha Ooh
Na siri yake tu jambo lile
Ni kama chakula lazima nile
Mi mbovu sana wa jambo lile
Na Ufundi wa kutosha Ooh
Mwezako mi nilikufa nikazikwa nikaoza
Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka eeh
Mi nilikufa nikazikwa nikaoza
Mapenzi yalinitesa nimefufuka eeh
Watch Video
About Mahaba
More ALIKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl