Nashukuru Lyrics
Nashukuru Lyrics by TIMBULO
Usingizi taabu kuupata
Ungenijia ndotoni
Moyo kwa ulimbo ulininasa
Wewe ndo kiti mie jini
Mi kanisa we sadaka oooh
Naomba usinipite
Nikikupa neno na waraka
Ili usiende
Everything we chukua
Kwako sina shaka
Aah aah...
Mmmh...mmh
You are my one and ony
I don't wanna let you go beiby
Nikikuudhi sorry
And I wanna let you know beiby
Am sorry mama eeh
Am sorry mama eeh
Am sorry mama, sorry mama
Sorry mama
Nasema nashukuru sana sana
Ulinifunza mimi kupenda
Siri kubwa kupendwa
Nijipende mimi kwanza
Nashukuru sana sana
Ulinifunza mimi kupenda
Siri kubwa kupendwa
Nijipende mimi kwanza oooh
Hey...yeah yeah yeah ah
Bila kupapasa macho
Haki ya Mungu nakupenda
Sikatai, nimekuudhi sana
Na katika moyo wako
Kuna mengi nimekutenda
Hukufurahi
Sikuona mama
Aaah binadamu
Tunasahau tukiwa nacho
Tukiwa hatunaa
Tunakumbuka
Kama kila siku kurumbana aah
Muda wote kugombana aah
Mimi sikujali, yeah
Yeah, yeah, yeah
Mbele yangu ulisimama aah
Kuongea vya maana aaah
Mimi sikukubali
You are my one and ony
I don't wanna let you go beiby
Nikikuudhi sorry
And I wanna let you know beiby
Am sorry mama eeh
Am sorry mama eeh
Am sorry mama
Mama mamaa...yeah yeah yeah
Nasema nashukuru sana sana
Ulinifunza mimi kupenda
Siri kubwa kupendwa
Nijipende mimi kwanza
Nashukuru sana sana
Ulinifunza mimi kupenda
Siri kubwa kupendwa
Nijipende mimi kwanza oooh
Hey
And I do this for love
And I do this for love
And I do this for love
Yeah yeah yeah
Fanya angalau
Nikuone tena
Nikuone tena
Ayaya
Moko genius...
T style
Watch Video
About Nashukuru
More TIMBULO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl