...

Makonzi Lyrics by ZUCHU


LG iiih

LG ah

Aah, ah ah

Mr lg

Ndo nkakuambia ataniacha

Haha hehe unachekesha sana

Hizo ni ndoto za alinacha

Haha, hehe anakundanganya

Hata umpe nini

Hunin’goi Unajisumbua mwaya

Huyo bila mimi hatoboi Nimemshika pabaya

We chezewa ukimaliza kwenda

Hatuachani kisa ujinga

We chezewa ukimaliza kwenda

Hatuachani kisa ujinga

Na nikikukuta nae

Patachimbika, nitakutia makwenzi

Nitakutikisa

Patachimbika, nitakutia makwenzi

Nitakutikisa

Kha Kwanza unitwambie umenizidi nini

Kubattle na mie uje wenzako tisini

Uliza uambiwe mimi mtoto wa nani (kopaa)

Ukijifanya chawa mi mwenzako kunguni (huna nini)

Huna jipya naenda kwa mwampopooo

Kikisafishwa labda ndo upate sokoo aah

Huna nini

Huna jipya nenda kwa mwampopoooo

Kikisafishwa labda ndo upate sokoo

We chezewa ukimaliza kwenda

Hatuachani kisa ujinga

We chezewa ukimaliza kwenda

Hatuachani kisa ujinga

Na nikikukutana nae

Patachimbika, nitakutia makwenzi

Nitakutikisa

Patachimbika, nitakutia makwenzi

Nitakutikisa

Watch Video

About Makonzi

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright : Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Added By : Farida
Published : May 24 , 2025

More ZUCHU Lyrics

ZUCHU
ZUCHU
ZUCHU

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl