Yalaa Lyrics
Yalaa Lyrics by GOLDEN
Hii! (Beat by Cat P)
Golden, baddiee baddie
Pole pole kidole na macho
Nibembeleze kwako mi mtoto
Mama umetingisha nyaya
Penzi konki moto fire
Mi kwako nagwaya gwaya
Iye yeee (Mkombozi)
Mimi nawe twarandani mwiko kubanduka (Mchokozi)
Cha uvunguzi chutama cha kuruka ruka
Mi kwanza ukinigusa gusa (Yalaa)
Ukinitazama usoni (Yalaa)
Ukinishika mgongoni (Yalaa)
Iye iye iye
Mi kwanza ukinigusa gusa (Yalaa)
Ukinitazama usoni (Yalaa)
Ukinishika mgongoni (Yalaa)
Iye iye iye
Nyodo sina, nyodo sinaa
Iyee iyee iyee
Bae you make kolo (Kolo kolo)
Bae you make me kolo (Kolo kolo)
Umenishika pabaya
Nyodo sina, nyodo sina
Umenishika pabaya
Mtoto jicho jicho hodi hodi mpaka ndani
Nachovya kwa kijiko utamu mpaka kisogoni
Ona nalegea nalegea, kabisa mdembwedo
Mawinguni napepea napepea
Imekatika pedal (Mkombozii)
Mimi nawe twarandani
Mwiko kubanduka (Mchokozi)
Cha uvunguni chutama cha kuruka ruka
Mi kwanza ukinigusa gusa (Yalaa)
Ukinitazama usoni (Yalaa)
Ukinishika mgongoni
Yalaaa! Iyee iye iye
Mi kwanza ukinigusagusa (Yalaa)
Ukinitazama usoni (Yalaa)
Ukinishika mgongoni (Yalaa)
Iyee iyee iyee
Nyodo sina nyodo sina, Iiyee iyeh
Bae you make kolo (Kolo kolo)
Bae you make kolo
Umenishika pabaya, iyee ahaa iyee aha
Umenishika pabaya, iyee haa ha iyee ah
Umenishika pabaya, iyeee aha aee ah ie a
(Beat by Cat p)
Umenishika pabaya, yee haa haa iye aha
Umenishika pabaya
Watch Video
About Yalaa
More GOLDEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl