Raha Lyrics
Raha Lyrics by ZEE
Oh babe eh
Vile unanifanyia mandingo
Ndo nijisikie
Unanikoko-kosha babaa
Oh babe eeh
Penzi nyota tusafirie
Unanitosha
Unanitosha tosha ah
Kila chumba changu kwenye moyo wangu
Ushapanga wee
Kama nikikosa, nikikosa nisamehe
Hata nuru yangu na nyota yangu
Sare na wewe
Usije ukanitosa, ukanitosa nife
We ni dawaaaa
Umeniponya maumivu
Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa
Usije ukaruka
Ukasepa nao maana
We ni dawaaaa
Umeniponya maumivu
Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa
Usije ukaruka
Ukasepa nao maana
Unanipa raha, unanipa raha
Unanipa raha unanipa raha
Unanipa raha, unanipa raha
Unanipa raha unanipa raha
Umenipa dawa ya sumu ya mapenzi
Nimepagawa na team yako nipe jezi
Nilinde nyumba yako wasifike wezi
Tule baraka za wazazi wako na Mwenyezi
Mwili wote mali yako chezeaa
Ning’inia kwenye bomba lako bembeaaa
Napenda kuona miguu yako vile ukitembea
Napenda ukiongea macho yamelegea
Lazima ntasogea unajua nimekolea
Unanchanganya na michezo ya kitanga
Nyuma ulivojaza ndani moja kanga
Nakukataza mama usiende kwa waganga
Penzi limenichalaza na haujashika panga
Umekalisha wanga haujui kudanga
Umenipiga lock nikitoka kimungu mungu
Raha unazonipa mpaka nahisi kizunguzungu
(Bizy, Bizy)
We ni dawaaaa
Umeniponya maumivu
Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa
Usije ukaruka
Ukasepa nao maana
We ni dawaaaa
Umeniponya maumivu
Nilotoka nayo nyuma
Usiote mbawa
Usije ukaruka
Ukasepa nao maana
Unanipa raha, unanipa raha
Unanipa raha unanipa raha
Unanipa raha, unanipa raha
Unanipa raha unanipa raha
Watch Video
About Raha
More ZEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl