Hatubwagani Lyrics
Hatubwagani Lyrics by ZEE
Nampa vya pemba ndani
Hali ilikuna
Nilivyo ngwili ngangari
Nampa raha
Uwanjani hapumui hanywi maji
Pendo lang'ara halipoi
Sisi hatutangamani, hata wachagawie
Huba letu nurlaini twakaba nukta kwa vituo
Hata wakunje zao ndita
Si ndo tunazidisha sifa
Ndo kuanza trailer halijaanza picha
Mapema washaanza kuumwa vichwa
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Wacha waseme sijui nini na nini
Inawahusu nini?
Wachanje dumba kutuharibia
Siachani na wewe
Penzi letu linazuia nini
Kwanini wasifanye ya kwao
Wasije kupa kuparamia
Tunavunja vikao
We mami wang'ara ng'ara ka rubi
Weusi mangala siwaoni
Umenitosha moyoni
Mwali mtoto mng'ara ka baby
Mnafu sang'ara kwa bedi
Kajitenga chumbani
Hata wakunje zao ndita
Si ndo tunazidisha sifa
Ndo kuanza trailer picha bado
Mapema washaanza kuumwa vichwa
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Hatubwagani ngo! Hatubwagani ngo!
Hata wakunje zao ndita
Si ndo tunazidisha sifa
Ndo kuanza trailer halijaanza picha
Mapema washaanza kuumwa vichwa
Hata wakunje zao ndita
Si ndo tunazidisha sifa
Ndo kuanza trailer halijaanza picha
Mapema washaanza kuumwa vichwa
Yaani mtoto mng'ara ka baby
Mnafu sang'ara kwa bedi
Kajitenga chumbani
Hata wakunje zao ndita
Si ndo tunazidisha sifa
Ndo kuanza trailer picha bado
Mapema washaanza kuumwa vichwa
Watch Video
About Hatubwagani
More ZEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl