Mapopo Lyrics

LULU DIVA Feat COUNTRY BOY Tanzanie | Bongo Flava, Bongo Flava

Mapopo Lyrics


Its S2kizzy beiby

Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo

Napenda ukinichombeza, dekeza 
Acha nijisifie
Ooh penzi lako koleza,ongeza
Utamu nisikie(heehe)

Tunapendana me na we
Visa visa vina tu owe
Mapenzi ya ki China paranawe
Mwenzako me sina kolo

Hallo hallo, sina kwaro kwaro
Badgal me to a shadow shadow
I say hallo, hallo miss Caro Caro
Me nimwage mpunga mcharo mcharo

Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo

Kuna vichungu na vitamu
Kwenye mapenzi ya kwanza uwe na nidhamu(ooh)
Kila kilamba chumvi tamu
Twende maximum mama sio minimum(yeah boy)

Naskia uzuri wa nyumba choo(yeah yeah)
Nitakujengea mpako bungalow(yeah yeah)
Kama mchungwa weka kalingoo(yeah yeah)
Targeti ni mpenzi than you never know

Unanichanganya kadada
Kutwa nakuwaza kadada
Kwa mapenzi yako kadada
Unanifanya nionekane bora kadada(ayiii)

Hallo hallo, sina kwaro kwaro(bang bang)
Badgal me to a shadow shadow(ayiii)
I say hallo, hallo miss Caro Caro
Me nimwage mpunga mcharo mcharo

Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo
Mapopo, mapopo

Laizer on the mix

Leave a Comment