Niombee Lyrics
Niombee Lyrics by YUZZO MWAMBA
Ukipata nafasi hii niombee
Maisha mwendo kasi niombee
Ukipata nafasi hii iiiih
Maisha mwendo kasi niombee
Kaz pia na wered
Nguvu pia na energy
Ukiniona focus niite Kennedy the remedy
King of the mvp
Plate a number D jonijon babako
Brand twelve Ni bdozen vunja bei sinza
Sharobaro insta
Mchovu ka adam ila mitama Tama
Fasta naitwa yuzzo mwamba aka buga aka rapper AKA
Kubwa mshindi bss So chilambo
So kayumba na nakeep real japo wengi wana vunga
Nilichojua baada kupanda kila stage
Unaweza miliki bndki afu ukatekwa na barmed
Mitaa inaukweli na unafichwa na hadhira
Nshakesha na mke wa mtu nanikamkuta bikira
Naisemea mitaa wala siuzi sura
Wahuni tunaogopa kula ata hela ya kula
Sanaa imenikuza kweny chuki bila upendo
Ukiona pengo alizikibik maana ntakufa na meno and
I swear hakuna rapper Kama mimi
Master j alishasema yuzzo we Ni rapper jini
Maarifa mile moja mile nane niite Eminem
Rapper wa bongo chmbechmbe Kama ya the game
Nana wakkalisha kote kwa moshi na matope
Nikipita kikohoz Koko Kama konde
Sishangai wadada wakinionyesha hips
Na shangaa mafuta ya mwamposa yakipika chipsi
Kama daladala joto shuka
Kapande friji gang ngang
Sura ngumu waniita zumaridi
(…)
Ukipata nafasi hii niombee
Maisha mwendo kasi niombee
Ukipata nafasi hii iiiih
Maisha mwendo kasi niombee
Watch Video
About Niombee
More YUZZO MWAMBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl