Simulia Lyrics by YUZZO MWAMBA


Juzi nlkuwa chenga sina kitu jua la utosi
Skuwa hata na buku ya kujipatia msosi
Ile kuchalika bwana nikapata vinoti
Nika jisema leo ngoja nivimbe kiboss
Ile akili ya kupika kaka tayari ikatoka
Yani kupata hela na mwili wote ukachoka
Nasema nile ugali kchwani voice inafoka
Leo upatie mwili  vimishkaki na koka
Nkatoka nimeji koki kuelekea ndani
Ila nkichek nguo zote ni chafu jamani
Ila ukipata pesa una change sio utan
Et nkaanza jsemesha hiz zote atafua nani?
Kwanza niki cheki kuna dalili ya mvua
Ila so kesi kun bi dada anafua
Anaitwa linda nka call sorry nakusunbua
Kuna nguo hapa home vipi unaweza kufua

Kajibu worry not bas ntazifata mida
Tena ntazifua kwako wala haina shida
Hata zikiwa nyingi kama minamba ya NIDA
Fanya andaa pesa yangu kama kawaida

Nikajbu bwana  pesa  ni kitu kidogo
Nmeshinda bss yuzzo sina shida ndogo
Yan nme chafukwa pesa utasema kigogo
Ila ukifka n txt maana natoka kidogo
Bas nkaenda kula kiepe nakunywa soda
Sina hata mawazo yan utam kunoga
Ile sjamalza meseji namba ya voda
Bwana wahi nmefika nipo kwako nakungoja
Hata skumalizia kula nkaona haina haja
Nina pesa sitembei leo naagiza baja
Ila kufika kwel namkuta mfuaji kaja
Kafua nguo tatizo kaanza kuanika mapaja

Kakalegeza macho nakusema twende ndani
Kweli wanaume mbwa ila madem mashetani
Karibu kitumbua nimekupikia chai
Utakula ndo ule au utakula hujali
Kanaposema hvyo kuna mziki kwa mbali
nyimbo ya harmonize leo nakutoa mali
Basi kafunga mlango ilituanze kusali mi ni mchungaji wa ng'ombe
Ila natoa mashetani ile nataka kunesa
Mwanangu nje akagonga oya yuzzo niaje emtoka mara
Moja nikatikisa kitanda ili ajue kumenoga
Na mtoto akakazia yuzo hakuna kutoka
Mwana akazidi kugonga bila kukata tamaa
Akatuma message akapiga simu kazaa
Alipoona kimya mwanangu akajikataa
Na mi nikasema message ntasoma nikisha kaa
Basi nikaanza nakula nakula bila kunawa
Maana nimala chache nakulaga machotara
Japo moyo ulisita nilipo mkumbuka mwana ila shetni akasema
Wana wana wivu sana
Ile namaliza kula nikakosa chakufanya ngoja
Nisome message alizonitumia mwana
Uyo demu ana homa ameungua kinoma
Kam umekula kavu yuzo mwanangu umekwama
Anakula vidonge ndo ananenepa kinoma nakote
Alikofua amesha sambaza sana nmekuletea salama
Nimeweka kwa dirisha yuzo ukizitumia utanusuru maisha
Nikaweka simu chini nikamuangalia mtoto
Ndani kuna baridi ila mwamba naliona joto
na bora nilianza ili ndo nile mtoto
Maana ka ningekula mtoto ningeona moto
Nikamuonesha message akabaki anashangaa
Niliposema tupime tu akapandisha kichaa
Sasa apa nauliza kama mwana yupo kwake
Ili nimshukuru nimpe kondom zake

Watch Video

About Simulia

Album : Son of the Pastor (EP)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jul 28 , 2022

More YUZZO MWAMBA Lyrics

YUZZO MWAMBA
YUZZO MWAMBA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl