Freestyle Session 2 Lyrics
Freestyle Session 2 Lyrics by YOUNG LUNYA
Yeah, na ningekuwa nataka uyoung King
Ningeshamwambia father Country anipatie
Maana mi hufanya sio mnavyotaka nyie
Na niliongea na simba nikamwambia awakanyagie
(Kanyaga)
Bisha uone utandala wakufanyizie
Mistari nateleza ganda la ndizi
Nafanya utoto kiko tabasamu Babilon biz
Sina views kama Priz au Dris
Ila I was born to shine
kama mwanangu bi twanga la twist
Tena waambie wanangu wa mtaani kwako mi sipaki powder
Nikiwa ghetto ni mitungi huwa simtaki soda
Izo itikadi zako za kishua zibaki goba
Nimeshafanya uvuke border
Now get off, my fuckn shoulder
For now am the best young rapper ata ka hutaki
Young killer pia ni rapper fulani noma kiroho safi
Mmmh nashukuru Mungu mambo yamekuwa safi
Nawaka utasema cheni za Konde Boy mjeshi
Ng'ata ung'atwe
Lianzishe ufwatwe
Wenzako hatulembi
Nasaka mkate
Baka ubakwe
Umeme ukatwe
Ushikwe upaktwe
Uliwe na mate
Itikadi za ajabu kama hizo sina
Maneno mengi ya nini? Kama unaniweza pima
Mtu mmoja ila utasema kikosi cha pina
Bora univunjie mguu kuliko kunivunjia heshima
Ndo maana napita kitaoni, nakaa boss yeah
I can boss na hunisomi, sieleweki yeah
Nakaa mkosi nakimbiza huoni
Namuuliza Moni, vipi umejenga sokoni
Napepesa mboni, nafanya wadudu wa njaa wanapita tumboni
Nikiwa high wanapita like am fuckin off
Maringo mengi yaani like my name is Cassanova
Ring ring sina manukato if we ni mjomba thanks for showing
Now we getting girls like Beyonce over
Kwanza natoka shkopa, sikopi makopa kopa
Mask off show my face hakuna nacho ogopa
Sina za kuropoka, nikikaa na magenge na moka
Yoh goma endeleeni kufoka
Nikitoka mtoka na moka
Monday to Sunday in my way no fun day
Rule number one is no popo afande
Mziki wa On G ni threesome, ndio mandate
We leta ucho kwako ukutane na kipande
Ka si mdaro nawachoma roho, yeah what you know
Kimichano nimekwenda H, yeah am getting old
Mashindano huwa nashinda mi, huwanga sitoi draw
Keep one hundred, other nigga thing oooh shit
Kumbe unaniiga kuchana, ooh shit
Pesa unapewa na mama, oooh shit
Mtoto wa kiume pambana, sio unaogopa wasichana
Shout out to Khali, respect the OG
We outchea, RoofTop, PNT beiby
Watch Video
About Freestyle Session 2
More YOUNG LUNYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl