Kiboss Boss Lyrics by TEMBA


Kumekucha, gari inafuta ikichupa cha lipia
Mfukoni nina milioni
Nina mtoto m-itchy huko kijiji
Unategemea nini zaidi ya kumpelekea mpini
Wanangu wa Temeke niko na nyinyi mpaka kieleweke
Mtoto mteka mteka, Temeke usimlete
Mpeleke huko huko wahuni wakamuweke
Mchaga na wako maria kila anapoingia bill ipo

Watu wa mbuni kaweka, ukipangua eleweka 
Ukiona una sifa ya kununua pombe Mungu muombe
Tuwache majungu washikaji tutafute pesa
Maisha ya leo ukilemaa, yakucheka

Wasanii tuwache kusihara, hivi ni kwa nini hatupendani?
Tunashindwa kutafuta sigara, maongeano mpaka Dar
Shetani we ni nani unaeyevunja haya makundi
Temeke story juu kila mtu hukula kwao

Wanavimbisha miili, tunavimbisha pochi
Hatufanani nao
Tushapiga madini, wanakuna utosi
Si ndo maboss zao

Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss

Am the winner, kila mechi nayo cheza
Wakinipima macho yangu juu ya feiza 
TMK kwa ujanja ukijitusi jeneza
Nikute viwanja vyao nachafua juu ya meza
Mbio za vijiti sakafuni
Mbio za street maisha  ni kufight kama ngumi
Kwenye ringi nawapiga kikoo
Niko spidi nacheki my time is on

Nikichora kila beat naificha
Temeke ndio nyumbani kila stop napita
Iza tu wakubwa hamtanikuta
Mtaftaji pekee mwenye lipia kutafuta

Ukishindwa moja, hautafika kumi
Maisha yaani uwoga utakuwa mboga kuwakuni
Nina kila sababu kuishi ka nyota
Mi ni hofu yao, wenye hofu wananiogopa

Wanavimbisha miili, tunavimbisha pochi
Hatufanani nao
Tushapiga madini, wanakuna utosi
Si ndo maboss zao

Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss

Utanikuta mi nashine yaani everyday
Mkwanja mfukoni, hakuna say
Kama kujenga nimeshajenga sasa mi na pay
Huku usinifuate uta die

Baba lao, ye si mcheza kwao
Japo urefu wa wao
Lakini mwishowe wa mchezo
Sisi ndo makontao
Mtu kwao, usihofu ni mistari tu
Wala hakuna roba ya mbao

Wikendi imeshafika, kutumia kiuhakika
Najinchanganya viwanja bora ina mkwanja
Matumizi kwa fujo, mwendo wamefinyo
Kwangu ni kama New York
Naskia ni fupi zinazopita mbele 
Leo nina mkuki nguruwe hazipiti mbele yangu

Wanavimbisha miili, tunavimbisha pochi
Hatufanani nao
Tushapiga madini, wanakuna utosi
Si ndo maboss zao

Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss
Temeke, Kiboss boss, TMK wanaume
Temeke, Kiboss boss,  

Watch Video

About Kiboss Boss

Album : Kiboss Boss (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 10 , 2019

More TEMBA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl