WILLY PAUL Vigelegele cover image

Vigelegele Lyrics

Vigelegele Lyrics by WILLY PAUL


Uhuhu willy willy willy msafi
Noma moto ngoma noma yani kali
Msela kali ngoma noma mhh teddy b
Aa nana nanananana nananaaii nanananai
Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali 2
Vigele5
Vigele5
Nakuonya we nyambura usijaribu nikaribia
Mapenzi yangu ni ya mwenyezi

Ata na wewe anyango
Nimeshaonyeshwa nia yako
Wataka kuniweka chini
Futi kumi na mbili
Nimekosa nini2
Mapenzi yangu ni ya mwenyezi
Noma ngoma noma
Yani kali msela kali
Ngoma noma noma sana lego
Aa nanananai nananai
Nanananai nanananai
Wacha nisifu baba nimwabudu nani jalali2
Vigelege5
Vigelege5
Mi awilly a awilly
Nimekosa nini a awilly
Simuniwachane a awilly
Nimusifu Mungu a awilly
Ye ndiye baba a awilly
Ziingmwanisema mimi i
Nimekosa nini i
Mwataka kuniweka chini i
Futi kumi na mbili i
Nimekosa nini i
Mapenzi yangu ni ya mwenyezi
Noma ngoma noma yani kali
Msela kali ngoma noma noma sana leego
Nana nananai nananai
Nanananai nananai
Wacha nisifu baba
Nimwabudu nani jalali2
Vigelege5
Vigelege5
Mhhhh kwa masela wote wanapendamola
Nipe mikono juu tumsifu mola
Tusifu sana mhhh
Noma ngoma noma
Yaani moto ya zambe
Noma ngoma noma
Yani noma noma sana msela kali ngoma kali aha oho aha aha

Watch Video

About Vigelegele

Album : Vigelegele (Single)
Release Year : 2015
Copyright : ©2015
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 12 , 2020

More WILLY PAUL Lyrics

WILLY PAUL
WILLY PAUL
WILLY PAUL
WILLY PAUL

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl