Danger Dinji Lyrics
Danger Dinji Lyrics by MOVAZ WAROMBOSAJI NATION
Put your hands in the air, air air air air
Put your hands in the air, air air air air
Put your hands in the air, air air air air
Put your hands in the air, air air air air
Yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Oh yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Oh yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Na mangitez wako wapi zee, wako wako wako
Na mangwetez wako wapi zee, wako wako wako
Warombosaji ndo kufika dee, ndio kufika dee
Put your hands in the air, hata ka huna fare
Mi najua umelemewa hizi tricks jo zimetepwa
Mavibare tu kwa hewa mangeus na wamebeba
Hii bash jo imeweza, weza
Mi na crew tunajibamba, eeh tunajibamba
Na haka kangeus mi nadai namba, aiyayaya nadai namba
Nikikawai nitakanyoroshanga, nitakanyoroshanga
Na hio beat nimeimada, si nimeimada
Yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Oh yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Oh yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Mi na mbogi tunakam thru'
Bash ni lit, tukiwashe ndo kiburn tu
Yengs ni wengi hapa ratio yeah ni times 2
Design nabeba utadhani ni matatu
Hello ey what's your name?
Eh waremi now plus Jane
Waiter eh please keep change
Kama vibe ni right please bump your head
Yebo
Put your hands in the air, air air air air
Put your hands in the air, air air air air
Put your hands in the air, air air air air
Put your hands in the air, air air air air
Eeh ni kukatika tika
Leo ni kukatika tika
Leo ni fiesta aah, forever aah
Leo ni kuparty hakuna kwenda (Hakuna kwenda)
Leo tumekuja kuwatekanga
Mavinembe ndani ya keja wamebebanga
Leta tei leta vela tunawashanga
Washa washa washa hio kitu
Ju leo ni kuparty katika
Leo ni kuparty after party
Leo ni kuchachi chachisha
Piano piano, me I know me I know
Cheza hio piano, piano pia
Piano piano, me I know me I know
Cheza hio piano, piano pia
Yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Oh yo gonzela gonzela hapa utapata vela
Kutoa ndinji, yeah danger dinji
Karun ni kutesa kukompa
Ni kutesa na amapiano
Karuni kutesa kukompa
Karunu ni ko namba, karunu ni ko namba
Karunu ni kutei nikupate umelala kitandani no hapa
Karunu ni ko namba, karunu ni ko namba
Karunu ni kutei nikupate umelala kitandani no hapa
Karunu ni ko namba, karunu ni ko namba
Karunu ni kutei nikupate umelala kitandani no hapa
Aii yebo ah yeh yeh yeh, ah yebo
Watch Video
About Danger Dinji
More MOVAZ WAROMBOSAJI NATION Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl